William Mtitu
Member
- Nov 12, 2011
- 31
- 16
zanziber chao ni chao na chetu ni chao
Chenu nyie kina nani ?
zanziber chao ni chao na chetu ni chao
fufueni tanganyika yenu kwanza halafu ndio muje na hoja za kilalamishi hapa
binafsi naungana na watanzania wote wanaotaka tupate katiba mpya, na nawapongeza watu wote wanaotaka mchakato huu uanze upya na usiwe na influence ya rais au kutekwa na watu wa ccm
hata hivyo nina wasiwasi sana na matamshi mengi ya tundu lissu yanayohusu zanzibar, kiukweli nayaona si mazuri kwa chama cha chadema na pia si mazuri sana kwa mustakabali wa taifa, maneno aliyoyasema yanaweza kutumiwa na maadui wa chadema kiasi kwamba ikaonekana chadema ina chuki na zanzibar, yawezekana tukadharau tukasema mbona wapiga kura kule ni laki 3 tu, hata tukizikosa sio neno, lakini tufahamu political stability ni muhimu, na haya maneno ya kuishutumu zanzibar sana, yanaweza kupeleka zile hisia mbaya za ubaguzi zikajengwa na kuonekana kuwa chadema yawachukia wazanzibar,
binafsi, najua , nitapingwa kwa sababu sijazungumza in favour of chadema, lakini hili ni angalizo tunahitaji kuwa wamoja zaidi kuliko kugawanyika, na sielewi kwa nini tundu lissu hili amekuwa akilipigania mno siku zote, toka kwenye mdahalo wa pale UDSM ukarushwa live ITV, alizungumza haya, ingawa mwalimu wake Prof Issa Shivji alimpinga, bungeni alirudia tena, kwenye majadiliano kadha wa kadha amerudia juu ya nafasi ya Zanzibar, tujiangalie tusije jikuta tunalose the grip
just angalizo tuu
leo wanzanzibar wasipoomba muongozo sijui, anaonekana anakuwa mchawi wao
Leo Lisu umesema ukweli ambao hata wana CCM wameukubali japo hawajionyeshi. Ni Kwa nini wazanzibari wawe wanakuwepo kwenye vikao visivyohusu Muungano? Nauchukia Muungano

CCM hawataki kuongea...ni kazi ya upinzani kupiga bla bla...