Muswada kuruhusu mume kujamiana na maiti huko misri

Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,421
596
Bunge jipya huko Misri linategemea kupitisha sheria ya kuruhusu wanaume waliofiwa na wake zao, kufanya nao ngono kwa lengo la kuwaaga. Muswada wa sheria hiyo mpya tayari imepingwa na wanaharakati wanawake kwa kuwa pia inaruhusu ndoa kwa mabinti walio chini ya miaka 14

Sheria hiyo itamruhusu mume kufanya mapenzi na maiti ya mkewe, ndani ya saa 6 baada ya kufariki. Sheria hiyo itajulikana kama KUAGANA KWA KUJAMIANA.

Source. Gazseti la Uhuru
 
Nani ameshinikiza hii sheria wakuu, wanawake au wanaume? Wamepimwa akili zao wako sawa?
 
Hii nimeisikia lakini inaniwia vigumu sana kuamini kama kweli wanaweza kupitisha sheria kama hiyo.

Sitashangaa kama ni moja ya propaganda tu za wapinzani wa kisiasa katika jitihada zao kupakana matope na kuchafuana.
 
mkuu ulikua jela? Habari inasiku karibia tano ulimwenguni.

Nyani Ngabu welcome back ukiona mtu anakuletea ban achana nae maana unahitajka sana jamvin.
 
Last edited by a moderator:
Sifahamu kama hao wabunge wana akili timamu kujadili suala kama hili.poleni sana akina mama wa Misri
 
Sifahamu kama hao wabunge wana akili timamu kujadili suala kama hili.poleni sana akina mama wa Misri
 
Hii ni kudhalilisha wanaume wote wa Misri na jamii ya waarab kwa ujumla! Hata wanyama hawafanyi hivyo! Muasisi wa huo muswada apimwe akili, sio mzima.
 
Hivi kwa nini ngono inapewa umuhim namna hii. Hisia za tendo inatoka wapi kwenye maiti.. Huu ni mfumodume Wa waarabu tu. Sasa na mwamke akifiwa na mume inakuaje? Atamuagaje?
 
Mwili umesisimuka kwa woga! Hivi tunaelekea wapi? Watu wanatumia muda mwingi kuwaza ngono. Aibu kwao!!!
 
Sifahamu kama hao wabunge wana akili timamu kujadili suala kama hili.poleni sana akina mama wa Misri

Nilipokuwa nasoma habari hii niilihisi kama naota aisee. Wakinamama Wanaharakati wameandamana kupinga
 
yani kweli naanza amini kiama kimekaribia.... Hii dhambi hata shetani anaweza akawa anaiogopa
 
Back
Top Bottom