Muswada kuahirishwa: Serikali Imesoma Alama za NYAKATI?

Yakuza

Senior Member
May 22, 2011
114
43
Wapendwa wanajamii

Jinsi mambo yanavyoenda ndani ya Serikali ya CCM, kuna uwezekano Muswada tete ukaahirishwa...hadi Bunge la Feb 2012.

Naomba tuwe wavumilivu hadi hapo kesho jioni....
 
Wapendwa wanajamii

Jinsi mambo yanavyoenda ndani ya Serikali ya CCM, kuna uwezekano Muswada tete ukaahirishwa...hadi Bunge la Feb 2012.

Naomba tuwe wavumilivu hadi hapo kesho jioni....

Tetesi izo umezipimaje?
 
lisemwalo lipo na kama halipo lada, hata budget ya ngeleja waliarisha
 
Katiba tunayoitaka ni muhimu iwe ya WATANZANIA, sio ya chama fulani---CCM/CDM/CUF. Tunataka katiba ya Watz. Sasa kumeibuka kundi ambalo linajiona ndio TZ, Tutafika kweli namna hiyo. kesho vurugu zikitokea utawasikia wachochezi hao wachochezi hao akina, nani?
hakuna majibu, hivi CCM wakiruhusu wananchi wakatoa maoni yao namna wanavyotaka watawaliwe, wao (CCM) kinawauma kitu gani?

Sana sana tunachoshuhudia sasa ni kampeni za udini tu,
 
Kama hili litatokea, itabidi hao akina Ole Sendeka sijui, Lusinde, Wasira, Kombani........................ wawajibike kwa kuwadanganya Watanzania!!
 
Ila Serikali ina dharau sana na kwa kweli kuna wabunge vilaza nchi hii na wavivu wa kusoma............ Bora wahairishe kwani hakuna kitu walichochangia katika bill hii............. Ni ushabiki tuu na upofu wa makusudi wa kuona umuhimu wa kuwashirikisha wananchi, CCM wanachoshindwa kuadmit ni ukweli kuwa hawaaminiki tena, nawashauri wabunge wa CCM warudie kusoma hotuba ya Tundu mstari kwa mstari halafu watafakari kwa maslah ya taifa hili vinginevyo hakuna haja ya kuendelea na hizo kelele zao hapo DDM
 
Mi na shangaa ushawahi kuona mwili ukitumia kiwiliwili kufikiri? Nakama haiwezekani nachoelewa kichwa cha bunge ni wabunge wa cdm sasa kama hawapo bungeni we unafikili zaidi ya kugonga meza kuna lamaana pale so automaticaly lazima wafanye hivo wakijifanya wanapitisha tutawaona watakakokwenda baada ya kutoka bungeni kwani tunapenda ujinga sisi!
 
unajua CCM wanafikiri wananchi bado wamelala hawajui nini wanataka. ndio maana wanaendelea kufikiria mawazo yao ndio yanawakilisha mawazo ya wa tz. bado najiuliza kusingekuwa na mfumo wa vyama vingi wangetupeleka wapi hawa magamba wanaojiona Miungu watu? Hivi tu wanaonyesha jeuri isiyo na busara. Ole wao wanaweza wasifike hata 2015 waendelee kuweka rekodi kama ya EL. Peoples power
 
Hizi ni tetesi tuuu huyu kakaa nakuibandika hapa bagamba hawawezi kukubali wataipitisha tuuu!
 
Hivi inawezekana kupanga mechi ya kirafilki kweli tuone kati ya Bongo kweli na Masaburi kweli Ana B wao ni nani zaidi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom