Muswada aliosaini raisi kikwete unaweza kutuletea katiba tunayohitaji

Ni ndoto za Alinacha. Katiba ikitoka ndivyo sivyo, wapinzani wataingia Hoteli ya Magogoni kirahisi na kukomalia humo. La kusikitisha, waliobeza hatua za CDM za kuweka mambo sawa sasa watakuwa wa kwanza kuleta ghasia. Tumeyaona hayo Malawi, Zambia na Kenya. Muhasham Kardinali kaweka wazi hatua za kuchukuwa sasa.
 
Hilo haliwezekan...hata wakipita kuchukua maoni tutawasusie..ili ccm wakamalizie mchakato waliouanzisha........je walikuwa wanamtafsiria raisi?kama ni hivyo wakamalize wenyewe....tutawasusia kama tulivyosusa kusheherekea uhuru wa miaka 5o ya t.bara
 
Back
Top Bottom