Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!

Hahahaha me love this ruta! Hua wanajitahidi kua na kauli nzuri,smart 24/7,wanaenda na wakati hakuna kinachompita, kuuza sura kwa sana na kama kajaliwa uhandsome ndo mtajuta,anaoga mara tano tano, gheto lake smart all the time..mda wote ananukia lols!player bana!

Purple..........purukhsani yote hiyo Player atakacho ni rungu tu lisuuzwe au siyo?
 
Last edited by a moderator:
Mtambue Player pale uonapo hataki mikwaruzano nawe unapombishia!
Mtambue Player pale ambapo penye udhia hukimbilia kuweka rupia!
Mtambue Player pale ambapo hudai malipo ya uwekezaji wake bila ya aibu!
Mtambue Player pale ambapo huhakikisha biashara yake huwa ni asubuhi tu!
Mtambue Player pale ambapo uonapo anavuma sana na kila binti anamsaka!
Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!

Nina wasiwasi kama wamekuelewa maana wengi,
hupofuka na kupumbaa gafla wanapoambiwa mambo ya uongo.
Ukijidai kuwaeleza ukweli toka moyoni ndiyo umewakosa kabisa,
mafataki wote ni wataalamu wa uongo.
Hivyo waache maana ilisemwa yakuwa "wajinga ndio waliwao"
Acha waliwe tu.

Sio ma-player wote wenye vijisent...huwa wanatumia maneno mazuuuri kwenye ku-soundisha.

Wengine survive in town kwa huruma ya hao anaowachezea. But Ruta amesema sahihi kabisa...mwisho wa yote ndege mjanja anaishia kunaswa kwenye tundu bovu. Wengi wanaangukia sehemu ambayo hawakutazamia.
 
Ma player wengine hupenda dezo kwa kuwatumia makuadi!

Sometimes.....mie nilifikiri wao wenyewe hujitafutia waathirika wao....kumbe na mkuhadi nao hutoa nyenzo!
 
Last edited by a moderator:
Wengine survive in town kwa huruma ya hao anaowachezea. But Ruta amesema sahihi kabisa...mwisho wa yote ndege mjanja anaishia kunaswa kwenye tundu bovu. Wengi wanaangukia sehemu ambayo hawakutazamia.

Ndahani.....it is tough love or tough kuchanganyikiwa na kujichanganya?
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi kama wamekuelewa maana wengi,
hupofuka na kupumbaa gafla wanapoambiwa mambo ya uongo.
Ukijidai kuwaeleza ukweli toka moyoni ndiyo umewakosa kabisa,
mafataki wote ni wataalamu wa uongo.
Hivyo waache maana ilisemwa yakuwa "wajinga ndio waliwao"
Acha waliwe tu.

Kyaiyembe atatokea moja au wawili watanufaika na huo ndiyo msaada tutakuwa tumewapa.................na wale kichwa ngumu watakapokutana nayo watakumbuka tuliwaasa ila ni tamaa zao tu ndizo zimewaponza..........
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe mchokozi, kumbuka bila players, wadada zetu wasingekua na zile smiles na urembo uuonao, players brighten up our sisters

kuna watu wanaamini wao ni wabarikiwa kama ndege warukao angani, hivyo kuvuna wasichopanda ni karama walopewa na muumba

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, nani kama player??

TIMING.........I seriously suspect wewe ni pro Player........................hii misifa unayowamwagia siyo bure lazima umenyesha au umnyeshewa na hizo gharika zao...............
 
Last edited by a moderator:
Wengine survive in town kwa huruma ya hao anaowachezea. But Ruta amesema sahihi kabisa...mwisho wa yote ndege mjanja anaishia kunaswa kwenye tundu bovu. Wengi wanaangukia sehemu ambayo hawakutazamia.
Ki ukweli kabisa lazima tujue kuwa hawa wenzetu ni wataalam wa kusikiliza utamu tena wa maneno tu badala ya kupata utamu vitu wanavyotaka.
Sasa wakisikiliza wakanogewa wanaishia kutoa utamu kwa wanaotaka kupata utamu.
Unakuta mtu anasikiliza mistari ya mtu kwa saa moja au nusu saa na anaishia kukubali kutoa utamu,
baada ya jamaa kupata utamu wake na kusepa nyuma yanabaki majuto na lawama!.
Lawama za nini? wakati mmepeana kila mtu alichotaka tena (live) kwa ushirikiano, bega kwa bega.
 
TIMING.........I seriously suspect wewe ni pro Player........................hii misifa unayowamwagia siyo bure lazima umenyesha au umnyeshewa na hizo gharika zao...............

take it from me bro.... no player' no happy woman on any street

flirting and playing is what we learnt!! kuanzia bustani ya eden hadi zozote zile duniani

I like dem players, but my age has passed me to be a player, I WAS A PLAYER!
 
Kyaiyembe atatokea moja au wawili watanufaika na huo ndiyo msaada tutakuwa tumewapa.................na wale kichwa ngumu watakapokutana nayo watakumbuka tuliwaasa ila ni tamaa zao tu ndizo zimewaponza..........
Unajua unanikumbusha mistari ya Mana-fa {wimbo: Bado nipo nipo} anaposema
"...............................wanatoroshwa na wazungu , wanamegwa na vibabu.........."
Na ile mistari ya J Dee na Mangwea {wimbo: Nisikilize mi} wanaposema
".........................nadhani ninyi mwalimu wenu ni kipofu..................."
 
sasa wewe mchokozi, kumbuka bila players, wadada zetu wasingekua na zile smiles na urembo uuonao, players brighten up our sisters

kuna watu wanaamini wao ni wabarikiwa kama ndege warukao angani, hivyo kuvuna wasichopanda ni karama walopewa na muumba

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, nani kama player??
TIMING ni kweli kabisa ma-Player wanasaidia kuokoa vijisenti vya dadazetu wasivipeleke kwa masangoma kisa hawaitwi mitaani!. Na kuharibu ngozi zao kwa chale nyinginyingi kupakwa madawa!.
 
Ruta,are you a player?
Na je kuna ubaya gani kuwa player,kwani unawabaki,si wanaingia wenyewe 18 zako? Mfano bishanga uongo mambo yangu na nanilii kule arusha kwa wasaga mahindi karibu yananyooka,sasa nikininilinyu mtaniita player?
 
Ndahani.....it is tough love or tough kuchanganyikiwa na kujichanganya?

Ukiweza kuzigusa "hot buttons" za muhusika why asichanganyikiwe? Kama mtu anapenda gari, hata la kuazima tu ili mradi aingie kingi....kama anapenda kula serena na kule sijui wapi, hata mkopo mtu atachukua. Mwisho wa siku hakuna wa kumlaumu mtu isipokuwa ni shauku na tamaa za roho zetu.
 
They know how to corner and cheers up women
Most of them know how to cover their cheating....

Okada.....for sometime.....nobody can lie to all women all the time...........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom