Mustafa sabodo jamani

Oct 12, 2010
70
7
Jamani wadau wezangu naomba kuuliza ofisi za mfanyabiashara sabodo zipo sehemu gani???? Naomba kujuzwa tafadhali
 
Vp unataka ukaombe kazi ama kuna nafasi ametangaza tuambiane ndugu yangu. By the way I do not know where they can be located, I was simply curious man. Gud luck with your search
 
mara nyingi anpatikana dukani kwake nkuruma street pale aquatech ambao ni sole distributer of hisense product,mm uwa namwona hapo,lakini kwake ni upanga mindu steet
 
Nkurumah na Uhuru, kwenye mnara wa saa (Clock Tower). Wakala wa Hisense.

Unataka kwenda kumtia mzinga? maana wa Tanzania kwa umatonya hatujambo.
 
Nkurumah na Uhuru, kwenye mnara wa saa (Clock Tower). Wakala wa Hisense.

Unataka kwenda kumtia mzinga? maana wa Tanzania kwa umatonya hatujambo.
Ana mpango wa kumpeleka Mabwepande huyo.
 
Back
Top Bottom