Mustafa hasanali

ashura

Member
Apr 22, 2010
7
0
Wadau habari zenu, naomba msaada wenu, hivi huyu mustafa ametumia kitu gani mpaka akapungua kiasi hiki (weight) cuz watu km hawa ndio vioo vya jamii inashangaza kuwa hawazungumzi ukweli juu ya maisha yao as a role model
 
Amekunywa oili chafu akaharisha mafuta yote mwilini mwake
 
Wadau habari zenu, naomba msaada wenu, hivi huyu mustafa ametumia kitu gani mpaka akapungua kiasi hiki (weight) cuz watu km hawa ndio vioo vya jamii inashangaza kuwa hawazungumzi ukweli juu ya maisha yao as a role model

Ashura post yako umechanganya mambo mno;
1. Unataka kujua Mustafa ametumia nini hadi kupungua weight
2. Unataka kujua kwanini ''vioo vya jamii hawazungumzii ukweli juu ya maisha yao

Pia kuna tofauti ya Role model na kioo cha jamii; Mustafa sidhani kama tunaweza kumwita kioo cha jamii, lakini kazi yake inaweza kuwa kioo cha jamii (Maana halisi ya kioo cha jamii ni kuwa, mtu au jambo linaloakisi (reflect) kinachotokea katika jamii- yaani kwa mambo au matendo mtu au kitu kinatuonyesha yale yanayotokea katika jamii husika) sasa sidhani tunavyomuona mustafa ndio jamii yet ya watanzania ilivyo, lakini mavazi anayoonyesha yanaweza kuakisi utamadanudi wa jamii yetu.
Role model ni mtu ambaye watu/mtu anaweza kumchagua kama mfano wa kuigwa, na nafikiri Mustafa anaweza kuwa ni role model wa baadhi ya watu (na hakika, mtu hawi role model wa kila mtu kwa sababu hili ni suala la kuamua na nuchagua). Nimetoa maelezo marefu ili kuondoa dhana potofu ya luwa kila msanii au mwanamichezo ni kioo cha jamii na pia kunyoosha maana ya maneno role model na kioo cha jamii.


Sasa kukujibu; Mustafa amefanya operesheni ya tumbo (Gastric by pass surgery) hii hupunguza kiasi cha chakula mtu anachokula, na hivyo kupungua uzito. madhara ya OP hii ni kuwa mtu hukosa baadhi ya virutubisho kwa kuwa sehemu ya tumbo ambayo hufyofanza virutubisho hivyo huwa imeondolewa na kumlazimu aliyefanyiwa OP kutumia suplements za virutubisho hivyo kwa maisha yake yote. Op kama hii amefanya pia Diego Maradona aliyepata kuwa mwanasoka Bora duniani
 
Who knows atajua yeye mwenyewe. Mnaotaka kuparamia miamba kazi kwenu.
 
Some form of operation ya tumbo. gastric bypass, stomach stapling, lap band etc. Inaweza kuchukua miaka kufikia "final weight" yako baada ya hizi operation so ndo maana ananenepa labda.
the+lap+band+adjustable+gastric+banding+system.jpg

bypasssurgery-773036.gif
 
We mtoa uzi huu mbona kama unahisia tofauti kuhusu uzito wa hasanali!? Hivi unataka akwambie hayo yoote af ufanyeje? Inakufaidishaje weight yake ???
 
Amekunywa oili chafu akaharisha mafuta yote mwilini mwake

ila siku hizi ni kama umekua mkorofi vile,...sasa huo ni mchango gani?...anyway be positive bana thats what i mean
 
Kwa nini unafikiri ni lazima Mustafa akueleze alichofanya? As far as I am concerned that is a medical condition and he is entitled to his privacy. Kwani kakuomba kura umuite kio cha jamii?
 
Back
Top Bottom