Must see Movies

Haswaa. Embu nijuze kuhusu NO ESCAPE ndugu
No Escape Ni bonge la muvi mkuu, itafute hutajutia bando lako.
inamhusu mmarekani mmoja akiwa na familia yake mkewe na watoto wawili walienda nchi moja nimeisahau kidogo ila inapakana na Vietnam. Bahati mbaya siku wameenda kulikuwa na vuguvugu la mapinduzi toka kwa waasi wa humohumo nchini ambao walikuwa wameichoka serikali ilokuwepo madarakani kutokana na kuwakumbatia wamarekani. Kizaazaa walichokutana nacho huko hakika hawatakaa kufikiria kurudi huko tena.
ilikuwa Ni no escape kweli ila walifanikiwa kuponea kwenye tundu la sindano baada ya kufanikiwa kuufikia mpaka wa Vietnam na kupata 'asylum'

Iko vizuri sana na imenifunza upendo kwa familia Yako hata kama mnapitia magumu kiasi gani la muhimu Ni kuambatana/kushikamana na kuwa pamoja
 
Last edited:
Nimemaliza kuiangalia Jana usiku kweli imenigusa sana. Nimekuja kugundua wazungu wengi ishu ya uwepo na ushawishi wa Mungu juu ya mambo yanayotutokea, hAwaamini hata chembe

Humo makabisani wengi wao ni watu weusi ndio wameshika dini wazungu wao Imani ndogo sana

Ile movie kwa mwaka 2015 naweza kuiweka katika top 10 zangu ni nzuri sana ijapokua mimi ni muislam ila naamini ujumbe mle ni mmoja tu ni kuhusu uwepo wa mungu...
 
Na nilipenda zaidi pale Joe alipoonyesha imani kwa matendo zaidi kwa kuwakarimu Lily na mamake, so touching kwa kweli
 
Me nilipenda pale 12 souls zilipokutana kwenye ile ajali duh best scene ever!!! Na alivokufa yule pretty boy so sad kwa kweli
 
Humo makabisani wengi wao ni watu weusi ndio wameshika dini wazungu wao Imani ndogo sana

Ile movie kwa mwaka 2015 naweza kuiweka katika top 10 zangu ni nzuri sana ijapokua mimi ni muislam ila naamini ujumbe mle ni mmoja tu ni kuhusu uwepo wa mungu...
Na mm japo kuwa ni mkristo hakuna movie naipenda Kama "My name is Khan" ya Sharukh Khan.

Inafundisha mengi hasa juu ya how watu wenye maslahi fulani wanaweza kutwist maandiko matakatifu ili watimize makusudi yao.

Recently tumeshuhudia watu wakitumia bible kulala na wake za watu kisa tu wanawaombea.
 
Huezi amini hii muvi Ni ya kitambo lakini sijawahi kuiangalia. Mara zote ninapotaka kuidownload nakutana na yenye lugha ya kihindi basi naishia kuachana nayo.
Ntajitahidi kuitafuta kwa kweli
 
Me nilipenda pale 12 souls zilipokutana kwenye ile ajali duh best scene ever!!! Na alivokufa yule pretty boy so sad kwa kweli
Mi nilipenda pale yule doctor alivyorekodi kifo cha Joe afu baadae anakuja kuitwa jamaa kafufuka hakutaka kuamini maswala ya miracles yeye anakomaa na scientific theory zake tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom