Elections 2010 Musoma Mjini: CHADEMA yashinda kwa kishindo

nothing comes before THE GOD of gods
well done TARIMES.

BUT KUTOKA JUMBA CHA KUHESABU KURA IRINGA KASHINDA CHADEMA KWA SASA ZINAHESABIWA KURA ZA URAIS.
 
Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Musoma oyeeeeeeeeeeeeeee! Saa ya mabadiliko ni sasa na majira ya ukombozi ni haya; asanteni wana Musoma mmefanya yaliyotegemewa na wengi. Tunasubiria number za uraisi.
Vipi huko Tarime!
 
Vicent Nyerere - Chadema 21,335 (56.71%)

Vedasto Mathayo Manyinyi - CCM 14,072 (39.38%)

Mustafa Juma Wandwi - CUF 253(0.71%)

Chrisant Ndege Nyakilita (Democracy Party) 53 (0.15%)

Tabu Said Machibya (NCCR) 19(0.05%)

Vicent kajitahidi sana hongera sana
 
Hongereni watu wa Musoma, Great Job, well done, XXL, XXXL, XXXXL, ......
 
Kama kuna wakati PESA zinashindwa, basi Musoma wameweza. Akina Mathayo, Zembwela mjifunze kutokana na matokeo haya. Manispaa ya kwanza kuangukia upinzani. Familia hii na jamaa zao wa karibu waliigeuza Musoma kuwa mali yao kisiasa.
 
Back
Top Bottom