Musoma ipo wapi?Tanzania yenye amani au?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Watu kadhaa wamefariki mkesha wa pasaka na wengine wengi kujeruhiwa kwa mapanga huko musoma!Jamani huko musoma kuna utawala gani?mbona matendo ya unyama hayaishi?source ITV news
 
Watu kadhaa wamefariki mkesha wa pasaka na wengine wengi kujeruhiwa kwa mapanga huko musoma!Jamani huko musoma kuna utawala gani?mbona matendo ya unyama hayaishi?source ITV news

Tunahitaji kumkabidhi Mungu mkoa huu na kumuomba apeleke roho ya amani pale. Mkoa huu unatia doa sana taifa letu. Hakuna kinachomshinda Mungu tukiomba kwa dhati.
 
Watu kadhaa wamefariki mkesha wa pasaka na wengine wengi kujeruhiwa kwa mapanga huko musoma!Jamani huko musoma kuna utawala gani?mbona matendo ya unyama hayaishi?source ITnews

Sasa hawa ndugu zetu Wakurya kama wameamua kuishi hivyo, let it be so! Ukipanda mahindi, utavuna mahindi. Utawala ufanyeje. Uweke askari police kwa kila raia kwa ajili ya ulinzi?
 
Umesikia hiyo mahari jamaa kapeleka tarime?

  • panga la kaka
  • bunduki ya baba
  • sime ya mama
  • shoka la mjomba
  • upinde wa binamu
  • gongo
  • mbegu za bangi.

Sasa hawa ndugu zetu Wakurya kama wameamua kuishi hivyo, let it be so! Ukipanda mahindi, utavuna mahindi. Utawala ufanyeje. Uweke askari police kwa kila raia kwa ajili ya ulinzi?

Wewe umekaririshwa Mkoa mzima wa Mara wanaishi wkurya tu?!!! hii JF sio pahala pa majungu ukitaka kuleta habari hapa uje na habari inajitosheleza support ur argument with eveidence..u should not speak from the line of sentiments or hatred....Mkoa ule una makabila karibu 20 wewe unaowajua ni wakurya tu!!!..mbona mikoa mingine hata Handeni juzi kuna watu wameuana kwa mashoka hilo nyie hamuoni...au wale nao wakurya?!! acheni uzushi wenu nyie mnalishwa sumu na CCM ili mtuchafue...
 
Back
Top Bottom