Muslim university of morogoro na scandle ya uongozi

maliki marupu

Member
Nov 5, 2011
8
0
Wakati chuo kikuu cha waisla kinaanzishwa watu wengi hawakuwa na matumaini kuwa chuo hicho kingeweza kupata uongozi makini ambao ungepelekea wanachuo kusoma na kuhitimu masomo yao.hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za kidini zimekuwa chini ya migogoro.hali hiyo iliperekea sintofahamu kubwa juu ya hatma ya chuo hicho kitaaluma.lkn hali ilikuwa tofauti kwani tangu chuo kimeanzishwa idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa imeongezeka kwa kasi kutoka kutokana na kiwango cha hali ya juu cha wahitimu hao wanaotoa changamoto za kitaaluma ndani na nje ya nchi.pia ni uimala mkubwa wa vc pr.njozi kwa kuhakikisha anatenda haki za msingi kwa wanafunzi wote bila kujali dini zao nakumbuka mwaka 2007 pr.njozi alizungumza na wanachuo na kuwaambia "utakuwa umetenda kosa sana kama hautojiainisha kuwa wewe ni dhehebu gani ili utendewe haki zako za msingi" kauli hiyo inathibitisha uhakika wa kulinda na kuheshimu imani ya mtu kwa mujibu wa kanuni na taratibu zilizowekwa.pia chuo hicho kimeweza kutoa wahitimu walioweza kugombea ubunge udiwani na wengine kulitumikia taifa ktk kada mbalimbali za kitaaluma.uwezo huo hauwezi kufikiwa bika kuwepo na tija na kujituma.hili hiyo imefikiwa kama vyuo vya dini kam st.augostine nawashukuru sana 0712099058
 
Hueleweki. Kama na wewe ni mwanafunzi au mhadhiri wa hapo, na umeandika hayo, basi watanzania tunastahili kupewa kejeli kuhusiana na elimu zetu!
 
Ww ni mhitimu wa hiko chuo? km ndio unakiabisha sana if at all they have those credentials........... Title na content vuru vuru.... TOFAUTI kbs...........
 
Bado hujasomeka vizuri,
Kwa mbali naona kama unataka kukifagilia chuo cha MUM lakini sasa huo mpangilio wa habari yenyewe unatia mashaka.

Kama wewe ni product ya MUM, basi bado chuo kina safari ndefu kufikia mafanikio yanayotarajiwa, ambayo kila mtanzania anaweza kujivunia bila kujali kasoma wapi na ana itikadi gani ya kidini.

Sijafahamu hiyo namba ya simu uliyoweka ni ya kwako ama ya nani na kwa sababu gani.

BTW, Msalimie Mr. Kassim Umba-depity VC finance & administration.
 
Hivi na wewe ulishiriki kwenye ule mjadala wa radio IMANI kama alivyosema MS!
 
"Depity" VC au deputy VC? Assuming ni typo ina maana yeye si Dr?

Bado hujasomeka vizuri,
Kwa mbali naona kama unataka kukifagilia chuo cha MUM lakini sasa huo mpangilio wa habari yenyewe unatia mashaka.

Kama wewe ni product ya MUM, basi bado chuo kina safari ndefu kufikia mafanikio yanayotarajiwa, ambayo kila mtanzania anaweza kujivunia bila kujali kasoma wapi na ana itikadi gani ya kidini.

Sijafahamu hiyo namba ya simu uliyoweka ni ya kwako ama ya nani na kwa sababu gani.

BTW, Msalimie Mr. Kassim Umba-depity VC finance & administration.
 
How Pathetic!

Never make a defense or apology before you are accused.

Charles I, King of England.
(1600-1649)

Una mambo mabaya sana kisaikolojia yanakusumbua. Na kama hiyo ndio namna yako ya ku-present mada, basi bora chuo kifungwe.
 
sasa wewe msomi mzima unashindwa hata kuandika neno "scandal" na unaandika "scandle". Hahaaa! ama kweli moro islamic university kuna wasomi!
 
Your heading and the contents are two ends of the continuum.....If you are an undergraduate student, revisit your writing skills lecture notes. If you are a lecturer or thereabout, mmmmmhhhh, it gives chills.

However, your message is understood with difficulties. I personally got what you wanted to say. Know your audience first before writing and Improve your writing skills.

But again colleagues and friends, difficulties in writing for Tanzanian students are not amenable to one University only, it is such a serious matter which needs remedial measures. I have experienced such perils from students coming from the highly GLORIFIED UNIVERSITIES in the country.

Remember, you all went to the same secondary schools, much less, the government ones, which are more or less orphaned.

Being good at the University requires concerted personal efforts, it doesn't matter whether you went to Oxford or Harvard, no working hard, you will remain a bull shit.
 
Wakati chuo kikuu cha waisla kinaanzishwa watu wengi hawakuwa na matumaini kuwa chuo hicho kingeweza kupata uongozi makini ambao ungepelekea wanachuo kusoma na kuhitimu masomo yao.hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za kidini zimekuwa chini ya migogoro.hali hiyo iliperekea sintofahamu kubwa juu ya hatma ya chuo hicho kitaaluma.lkn hali ilikuwa tofauti kwani tangu chuo kimeanzishwa idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa imeongezeka kwa kasi kutoka kutokana na kiwango cha hali ya juu cha wahitimu hao wanaotoa changamoto za kitaaluma ndani na nje ya nchi.pia ni uimala mkubwa wa vc pr.njozi kwa kuhakikisha anatenda haki za msingi kwa wanafunzi wote bila kujali dini zao nakumbuka mwaka 2007 pr.njozi alizungumza na wanachuo na kuwaambia "utakuwa umetenda kosa sana kama hautojiainisha kuwa wewe ni dhehebu gani ili utendewe haki zako za msingi" kauli hiyo inathibitisha uhakika wa kulinda na kuheshimu imani ya mtu kwa mujibu wa kanuni na taratibu zilizowekwa.pia chuo hicho kimeweza kutoa wahitimu walioweza kugombea ubunge udiwani na wengine kulitumikia taifa ktk kada mbalimbali za kitaaluma.uwezo huo hauwezi kufikiwa bika kuwepo na tija na kujituma.hili hiyo imefikiwa kama vyuo vya dini kam st.augostine nawashukuru sana 0712099058

Andamaneni mkadai mahakama ya kadhi na misikiti iwepo kila baada ya mita 100 tena ijengwe na serikali
 
Back
Top Bottom