Music producers wakali kwenye bongo fleva kwa sasa

Kuna huyu kijana wanamwita mafia nae anajua sana beat zake ni kali sana
1469381953445.jpg
 
Tukisema tuweke ushabiki pembeni Tanzania mtengeneza beat iliosukika katika kila idara ambayo hata ukisikiliza kwenye i.e mziki mkubwa, earphones, headphones quality haipotei bado hajawahi kupatikana ili uweze kuinelewa pata reference ya i.e viva forever - spice girls, Team - Iggy Azaelia, Top Back - T.I etc etc
 
You have a point, ila hoja yako ina base kwenye mastering ambayo pia inahusisha sound engineering... Kwa bongo sababu ya gharama ni kama hamna ila binaweza kufanyika.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom