Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Tukihoji kwa nini viongozi wengine kwenye shirkisho wanang'ang'ania madaraka tunaonekana tunajiingiza kwenye maswala ya ndani ya nchi zingine, alafu watu hao hao ndio wanataka tufast track muungano wa nchi za Afrika Mashariki. Safari ni ndefu kweli kweli.
Icadon,
I like what you have said. Ukweli ni kwamba if we have to bring this
so called federation together then it is only prudent that we understand
the thinking of our partners. In that regard basi nd'o unakut tunahoji
unganganiaji wa madaraka wa viongozi kama Museveni na Kibaki. Isije
ikawa when the federation is formed watakua na tendencies hizi hizi
za kungangania madaraka.
All we are doing is just being wary of our partners.
Regards.