Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,653
Demokrasia ya Uganda hata siielewi na inaelekea kuwa Egypt mpya kwani wananchi hawaruhusiwi kuandamana na wakiandamana wanapigwa wanakamatwa hadi majumbani mwao na wanajeshi, hadi imeanza kuoneshwa kwenye tv za dunia nzima uonevu huo. watakuchoka uwe kama gabgo. oh!
sasa museven uugwana weka mbele unganisha nchi yako kama maisha unayo ubabe ukatiri wa kazi gani watu wanapinga sababu wana maisha magumu.
uwachalaze uwapige mabomu nini sasa au nawe unataka uitwe Iddi Amini wa pili dadake nakutahadharisha unaelekea kwenda kula nyama za watu oh!