Museven atetea Sera ya Baraza lake kubwa la Mawaziri

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
Asisitiza wanasiasa wazungumzie hoja za msingi kama maendeleo na umeme. Namnukuu:

"...Unaweza kuwa na Baraza lenye waziri hata mmoja tu, lakini kama hakuna umeme ni kazi bura....".Mwisho wa kunukuu.

Wana-CDM wenzangu munasemaje?

Source: BBC Nairobi
 
hata mie nimemsikia; ila aliniacha hoi aliposema "polisi walitumia nguvu kupita kiasi" kumuadhibu mpinzani wake Dr. Besigye
Ndio kauli nyepesi za viongozi wetu kama hizo hazina tofauti kama mwenzake aliyetoa kauli kuhusiana na mauaji ya ARUSHA
 
Museven is completely out of order. Majigambo anayatoa wapi hasa wakati hata kumkamata Joseph Kony kashindwa?. Halafu kashikilia hoja ya kuwa na Political Intergration East Africa. Nadhani Watanzania tuikatae hii hoja ya kuungana (political intergration) mpaka hapo kila nchi mwanachama itakapoweka kipengele ndani ya katiba (categoracially) cha ukomo wa urais. Hatuwezi kuungana na huyu mad dictator. Mental!
 
Ya TZ zinamhusu nn wakati ya nchini mwake yamemshinda?amechanganyikiwa?
 
Asisitiza wanasiasa wazungumzie hoja za msingi kama maendeleo na umeme. Namnukuu:

"...Unaweza kuwa na Baraza lenye waziri hata mmoja tu, lakini kama hakuna umeme ni kazi bura....".Mwisho wa kunukuu.

Wana-CDM wenzangu munasemaje?

Source: BBC Nairobi
Mzee wa Ban kweli ndg yangu unanisikitisha wewe unathamini mawazo ya Musebeni. Huyo kwanza Urais ameona ni ufalme,mpinzani wake mkuu Col Kiiza Besigye yuko hoi hospitali kakungutwa na watu wake. Kipindi hiki anamwandaa mtoto wake Mhozi amempa Ubrugedia Generali ili akitoka yeye atawale. Sasa huyo anamawazo kweli ya kusaidia nchi kama Tanzania????????
Tukiwa na baraza dogo la mawaziri huoni tutapunguza mtumizi ya serikali. Umasikini wetu unaletwa na poor planing, wewe uweke baraza la mawaziri sitini, wakuu wa mikoa ishirini na tano, maofisa lukuki wa serikali wasio na tija. Yote hayo yanahitaji mabadiliko, kama kweli tunaitakia mazuri nchi yetu ya Tanzania, lazima tufanye mabadiliko (the government institutions reform,TOTAL OVERHAUL)
katika mfumo mzima wa serikali, tuweze kuleta maendeleo ya nchi yetu.
.
 
Asisitiza wanasiasa wazungumzie hoja za msingi kama maendeleo na umeme. Namnukuu:

"...Unaweza kuwa na Baraza lenye waziri hata mmoja tu, lakini kama hakuna umeme ni kazi bura....".Mwisho wa kunukuu.

Wana-CDM wenzangu munasemaje?

Source: BBC Nairobi

Na unaweza kuwa na mawaziri 70 na umeme usiwake pia ni kazi bure.....bora mmoja bila umeme kuliko 70 bila umeme....

Time to rest Mr. Museven
 
Kuwa na baraza dogo sio tija, kinachotakiwa ni ufanisi wa serikali . Na hilo ndilo amesema Museveni. Amesema tizama amerika , mawaziri wa mambo ya nje wapo zaidi ya 7, Waziri wa mambo ya nchi za nje Africa, Asia nk. Ni funzo kwa CDM kuwa sera zao hazitekelezeki. Na wakati wa uchaguzi , Dr Besigye alijifanya kuiga sera za cdm za bure bure, wananchi wakamwaga kama walivyo fanya kwa Slaa
 
Who is he anyway? is another millitary junta in Africa.:israel:
 
Museven is completely out of order. Majigambo anayatoa wapi hasa wakati hata kumkamata Joseph Kony kashindwa?. Halafu kashikilia hoja ya kuwa na Political Intergration East Africa. Nadhani Watanzania tuikatae hii hoja ya kuungana (political intergration) mpaka hapo kila nchi mwanachama itakapoweka kipengele ndani ya katiba (categoracially) cha ukomo wa urais. Hatuwezi kuungana na huyu mad dictator. Mental!
Ndg Yangu FJM Watanzania wote tuungane kuhakikisha hatukubali political integrations ya EA States hadi hapo watawala ma dictator mfano wa Musebeni wameondoka, better late than never. Ni kweli lazima kuwe na ukomo wa Urais ktk EAC kwanza. Vinginevyo utakuwa utawala wa kifalme(Obukama) katika EA States.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kuwa na baraza dogo sio tija, kinachotakiwa ni ufanisi wa serikali . Na hilo ndilo amesema Museveni. Amesema tizama amerika , mawaziri wa mambo ya nje wapo zaidi ya 7, Waziri wa mambo ya nchi za nje Africa, Asia nk. Ni funzo kwa CDM kuwa sera zao hazitekelezeki. Na wakati wa uchaguzi , Dr Besigye alijifanya kuiga sera za cdm za bure bure, wananchi wakamwaga kama walivyo fanya kwa Slaa

kumbe we gb unaenda kwenye mkutano kisa mkwanja pole sana. najua hata wewe upendi hii system kutokana tu na ufinye wa akili yako inabidi ufanye hivyo..
 
Kuwa na baraza dogo ni moja ya hatua kupunguza matumizi ili kuwa na uifanisi ktk serikali. Huwezi kutenganisha mambo haya mawili. Labda Museveni anatetea kale kamtindo kake ka kubinafsisha serikali ya Uganda kuifanya 'family affair' kisha kugawa vyeo kwa wapambe.

The whole is greater than some of its parts. We should look issue in their holistic form to make complete, sensible meaning.
 
Ya Tanzania hayamhusu hata kidogo, ya kwake yamemshinda ya kwetu kweli atayaweza. katika maraisi wa Afrika ambao mimi siwapendi kwa tabia zao ni huyu wa Museveni. Ameona kama uraisi ndo kila kitu kwake lakini namtabiria mwisho wake utakuwa sio mzuri
 
Kuwa na baraza dogo sio tija, kinachotakiwa ni ufanisi wa serikali . Na hilo ndilo amesema Museveni. Amesema tizama amerika , mawaziri wa mambo ya nje wapo zaidi ya 7, Waziri wa mambo ya nchi za nje Africa, Asia nk. Ni funzo kwa CDM kuwa sera zao hazitekelezeki. Na wakati wa uchaguzi , Dr Besigye alijifanya kuiga sera za cdm za bure bure, wananchi wakamwaga kama walivyo fanya kwa Slaa
Mawazo ya mtu aliye lala usingizi hayo, serikali yako ni mufilisi sasa kwa sababu ya utitili wa unproductive system ya utawala. Mawaziri sabini, kweli wewe ni Genius Brain au wababaishaji?????
 
Na unaweza kuwa na mawaziri 70 na umeme usiwake pia ni kazi bure.....bora mmoja bila umeme kuliko 70 bila umeme....

Time to rest Mr. Museven
Mkuu hapa umenena. What is the point of having a cabinet of over 60 members while the problem of power shortage/power rationing is still swallowing us?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom