MuSAADA KWA HII BA MUTU!

Huwezi amini, ila ukweli ni kwamba madem dizaini hiyo wanakuaga watulivu sana kwenye mapenzi! Na akikupenda anafall kweli si utani. Tatizo ukimtokea kijinga hakawii kukuumbua mbele za watu. Ila ukim bana kwenye kona, hana ujanja. Jikaze umtokee. Akikataa si basi?
 
niaje ndugu zangu? Hope kila mtu yupo safi. Ebana kuna rafiki yang mmoja anaface tatizo ambalo nimeona niliwasilishe hapa Jf kwa ushauri. Unajua issue ikoje? Huyu rafiki yang amefall in luv kwa mdada mmoja ambaye kwa kiingereza wanawaita Tomboy yaan msichana mwenye matendo ya kiume. Hakyanan huyu dada cjawah kuona,ni mzur kwa kwel lakn tatzo lakujifanya gangsta au tomboy ndo linamkosesha raha jamaa wang. Kwa wanaomfaham inasemekana hata shule ilikua nadra kuvaa sketi,yan kutwa utamkuta kala mikato ya kiume af hana story na wasichana wenzake kabisa zaidi ya wanaume. Halaf kibaya zaid hafagilii kabisa ishu za malavidavi. Sasa jamaa wangu yuko njia panda hajui hata aanzie wapi![/QUOTE]

Huyo alikuwa anamtamani maana kama kafall in love sidhani kama kuna umuhimu wa kubadilika
 
Huyo demu atakuwa SALAMA bila shaka!!
Ningeshangaa hili jina lisingetajwa kwenye hii thread...lol. Back to the topic, wengine ni maumbile tu hormones za kiume zimeongezeka kuliko za kike. Kama kampenda dawa si ni kufunguka, kama akiwa hana mpango nae basi bahati mbaya, itakuwa sio rizikiyake waswahili wanasema.
 
Back
Top Bottom