Mupo.???

asante mwaya kweli kuna mapya... hivi ni kweli yule mshamba platozoom iz no mo kwako??

nimeamua kuokoka now, karibu kanisan kwetu JRC - JESUS RESTORATION CHURCH. Tupo ukumbi wa nyanza kila jumapili kuanzia saa 3. jumanne na alhamic twapatikana ukumbi wa zenze karibu uwanja wa furahisha kuanzia saa 10 jion. karibun wote!
 
duh ni wewe charminglady naekufaham au mwingine.!!! apo upo kwa ajil ya ibada au unatafuta stress remover... nkibarikiwa ntakujaga
 
Last edited by a moderator:
ndo mimi hyu huyu, kwan jaman mtu akiamua kuokoka ni dhambi? Junior. Cux njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe. ukiombewa tatizo lako ni dogo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom