Muongo akihadithia

Kichaa mmoja alikua yuko wodini juu ya baiskeli aliyopewa na dokta wake.Baiskeli ikawa imewekwa kwenye stendi,kwa hiyo akawa anaendesha iko palepale.Dokta akawa anamuangalia kichaa anavyochanganya pedal kwa kasi mno baada ya mda akatulia.Dokta kuona mtu amekaa mda mrefu juu ya baiskeli bila kufanya lolote,akajua labda akili zimemrudia na amejishtukia kwamba baiskeli haitembei,akamfata akamuuliza.
"Vipi mbona huendeshi baiskeli?"
kichaa:Shhhh,niko kwenye mtelemko.
Dokta huyo kaondoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom