Muonekano wa sasa baada ya vita ya chechen war kuisha mwaka 2010

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
5,111
21,657
Wazungu ni watu ambao wametuzidi sana kiakili hata.hii ndo ile chechnya ambayo ni sehem ya urusi ambapo vita ilipelekea mji huu kualibiwa vibaya mno hadi mwaka 2010 vita ilipoisha jamaa walianza kujenga upa na sasa ni mji wenye kumvutia kila mtu duniani.
Hii ni picha ya mwaka 2009
View attachment 369632

Muonekano wa sasa
1469263447100.jpg
1469263466529.jpg
1469263492080.jpg
1469263508289.jpg
1469263531926.jpg
1469263548477.jpg
1469263569141.jpg
1469263575514.jpg
1469263615683.jpg
1469263658901.jpg
1469263680389.jpg
 
Duuh, nikiangalia picha za zamani za chechnya...palikuwa pa hovyo na vita iliwaasiri sana. kulikuwa na makundi mengi yenye msimamo mkali (Exremist) waliokuwa wanataka kujitenga na Moscow zama za Rais Boris yeltsin....!! hawa jamaa walikuwa ndo waasisi wa child soldier kwenye bara la ulaya

upload_2016-7-23_15-13-9.jpeg


Mass_grave_in_Chechnya.jpg


chechnya-2.jpg


30grozny2.650.jpg


russia-chechnya-war-eru102563.jpg


maxresdefault.jpg


images


hjGWaeb.jpg


563273d1408241821-children-seeking-shelter-basement-barely-survive-russian-bombardment-war-city-grozny-chechnya-children-seeking-shelter-basement-barely-survive-russian-bombardment-03.jpg


upload_2016-7-23_15-22-2.jpeg

beginfoto_kl1.jpg
 

Attachments

  • upload_2016-7-23_15-12-45.jpeg
    upload_2016-7-23_15-12-45.jpeg
    11.1 KB · Views: 52
  • upload_2016-7-23_15-21-41.jpeg
    upload_2016-7-23_15-21-41.jpeg
    8.7 KB · Views: 51
Nausubiri Syria...Allepo...maake nayo imeharibiwa mbaya.
Anyway_Magufuri anaonyesha ataweza kutufikusha mahali pazuri...japo hata nusu ya hapo.
 
Yaan ni aibu kubwa sana. Ishu kama ya madawati tungetakiwa wawe wanatengeneza wafungwa kama kuwajengea skills na watunzwe vizuri sema siku hizi kichaa anayekula jalalani anakuwa na mawazo ya msingi kuliko viongozi wa serikali kuonambali.
Tanzania msaada tunaohitaji sio mipesa na miundombinu tunahitaji msaada wa viongozi wenye visions na uthubutu.
 
Tanzania msaada tunaohitaji sio mipesa na miundombinu tunahitaji msaada wa viongozi wenye visions na uthubutu.
Kweli kabisa mana bila hivyo tutabaki tunapiga maktaimu hapa tuu na kutafuta mchawi ni nani kumbe tumemfuga sis wenyewe. Mkuu.
 
kwa hao wajamaa kwa jinsi walivyo endelea kwa kasi kutupita sisi watanzania ambao saizi ndio kwanza tunawaza kuchonga madawati.
hao jamaa hata wakituita sisi ngedere wanaweza wakawa hawajokosea sana.
 
Ukijaribu kuangalia tuu Jiji mama Dar miundombinu pamoja na plan nzima na mji imekosewa je kuna miji imeanza hata kuplaniwa kuja kuwa miji ya kisasa? Jibu ni hamna mpaka watu wajenge town ivyo kila mtu anavyoona kwa plani zilezile za mipangomiji ya miaka ya tisini ambayo ingehitajika kuwa updated kwa miaka ya kileo. Mwisho wa siku serikali utakuja kuingia hasara ya kubomoa na kulipa watu fidia wakati Jambo lilowezekana kufanyika kabla.
 
Kweli kabisa mana bila hivyo tutabaki tunapiga maktaimu hapa tuu na kutafuta mchawi ni nani kumbe tumemfuga sis wenyewe. Mkuu.
Nchi hii ni basi tuu kiongozi anawaza atafute campuni nje apige zake 10% kwenye tenda za kiserikali je walio chini yake wamejifunza nini? Kansa huanza kidogo kidogo mwisho husambaa kote.
 
Nausubiri Syria...Allepo...maake nayo imeharibiwa mbaya.
Anyway_Magufuri anaonyesha ataweza kutufikusha mahali pazuri...japo hata nusu ya hapo.



kweli bana angeanza japo na kiwanda cha tomato.
 
Back
Top Bottom