Muonekano wa Mwigulu na Nape katika jamii.

Umslpogaaz

Member
Apr 14, 2008
94
56
Nape.jpg
Hii nimeitoa facebook na hapa chini ni maoni ya vijana wengi kuhusu hawa makada wa ccm:

https://www.facebook.com/photo.php?....10151029566169339.443590.109362579338&type=1

  • 1 share
    • Tell us about themabout an hour ago ·

    • nini tena au kavuliwa gamba m2about an hour ago ·

    • magamba magumuabout an hour ago ·

    • wanaongelea nini hapo?about an hour ago ·

    • ma swahiba nn hawa au!about an hour ago ·

    • mhhabout an hour ago ·

    • wenye nchi!about an hour ago ·

    • mafisadiabout an hour ago ·

    • Mjambazi namba moja Tanzania!about an hour ago ·

    • Rais wa Chama cha Mabwepande.about an hour ago · · 1

    • CCM ya leo, jamani kazi ipo.about an hour ago · · 1

    • jipya niniabout an hour ago · · 1

    • Mabweabout an hour ago · · 1

    • makamanda hao,about an hour ago ·

    • CCMabwepande!about an hour ago · · 1

    • wanafiki wazandiki mafedhuli wehu wahuni wasalitiabout an hour ago · · 1

    • vijana wamepotea kwa kukosa maarifa.about an hour ago · · 1

    • Hawana jipya hao.about an hour ago · · 1

    • hawa na tainganyika ya kushotoabout an hour ago ·

    • je wako upande gani?about an hour ago ·

    • WaNaFiKiRiA La KuWaDaNgAnYa WaTaNzAnIaabout an hour ago ·

    • kwan ni nani huyo jamanabout an hour ago ·

    • inchi hii co kila m2 ashike chake mapemaa hivi wewe jk vip huna machoabout an hour ago ·

    • Kurudi nyuma nayo kasiabout an hour ago ·

    • Wazushi tu wananikera kinomaabout an hour ago ·

    • Hovyooo!about an hour ago ·

    • Wala nchi ndo hao somen na niny mle ka waoabout an hour ago ·

    • Huyu jamaa ndo yule mropokaji!about an hour ago ·

    • Wananihariba cku . Kiv cc wana2ona ha2na akil 2shakubali maisha ya bla kaz 2tfka 2. about an hour ago ·

    • nani hataki kushika bro? we kama umeona wahi ohhh, utakuja kuulizwa huko mbinguni kama ipo.about an hour ago ·

    • who's this antics54 minutes ago ·

    • Dawa ya mjinga ni kumnyamazia ili ajione ana akili kuliko wote.52 minutes ago · · 1

    • Kichefuchefu!52 minutes ago ·

    • magamba hayo hakuna jipya hapo44 minutes ago ·

    • natapika mie,44 minutes ago ·

    • Mwigula hana hoja , ni specialist wa mipasho, yuko mjengoni ndivyo sivyo.for his belly43 minutes ago · · 1

    • wazee wa propaganda hasi25 minutes ago ·

    • Matapeli hao23 minutes ago ·

Jamani, tumkumbuke Nape enzi zake za UVCCM, nadhani mnakumbuka alivyokuwa tishio kwa mafisadi hadi hoja ya uzanzibari ikatengeneze kama sinema, halafu mhusika akavuliwa gamba, then Nape akapelekwa chuo kufundishwa nadharia ya chama na imani ya chama. baada ya hapo akarejeshwa kundini. Kama atafanya kazi kiiteligensia bado naamini anaweza kuja kutufaa baadaye. subira yavuta heri.
 
Maoni karibu yote yaliyotolewa hapo juu yanaonyesha chuki dhidi ya hao makada wa ccm ambao ambao maneno na vitendo vyao vinakera wananchi. Waliotoa maoni ni sehemu ndogo tu ya jamii lakini inaweza kuonyesha ni jinsi gani jamii ya Kitanzania ilivyoshoshwa na dana dana za ccm. Kitu cha kushangaza ni kwamba macho na masikio ya makada hao yamezibwa kiasi cha kutokujua ni kitu gani kinaendelea!
 
Du mmekosea sana mnauwa wenyewe halafu mnakimbilia polisi nasikia yule jamaa hakufikisha pesa kwa vijana wa fujo?
 
Du mmekosea sana mnauwa wenyewe halafu mnakimbilia polisi nasikia yule jamaa hakufikisha pesa kwa vijana wa fujo?

actually ni furaha sana kuona kuna watu kama hawa halafu watu kama kina mangula na peter kisumo wamenyamaza kimya..embu wawalete kina Tambwe hiza tufurahie magoli ya kujifunga...hihihihi
 
Nawahurumia kwa kuutumia vibaya ujana wao, wameharibikiwa na wamejimaliza kisiasa
 
​kwanza nape aache kujichubua,halafu mbona anakiita chama cha siasa magaidi huoni kama ni woga huo wakoloni walimwita nyerere mchochezi poleni san jifunzeni siasa
 
Akili zingine za ajabu kweli ! Kama za padri mwizi. Hivi ni kweli kuwa hujui kuwa mnao watukana hawa makamanda ni nyie CHADEMA,mnaojua fika kuwa wanawakimbiza? Umeona mikutano yao mikoani?Acha uzezeta,tumia ubongo kuwaza na si ....buri!!!!

QUOTE=Umslpogaaz;4251091]Maoni karibu yote yaliyotolewa hapo juu yanaonyesha chuki dhidi ya hao makada wa ccm ambao ambao maneno na vitendo vyao vinakera wananchi. Waliotoa maoni ni sehemu ndogo tu ya jamii lakini inaweza kuonyesha ni jinsi gani jamii ya Kitanzania ilivyoshoshwa na dana dana za ccm. Kitu cha kushangaza ni kwamba macho na masikio ya makada hao yamezibwa kiasi cha kutokujua ni kitu gani kinaendelea![/QUOTE]
 
Akili zingine za ajabu kweli ! Kama za padri mwizi. Hivi ni kweli kuwa hujui kuwa mnao watukana hawa makamanda ni nyie CHADEMA,mnaojua fika kuwa wanawakimbiza? Umeona mikutano yao mikoani?Acha uzezeta,tumia ubongo kuwaza na si ....buri!!!!

QUOTE=Umslpogaaz;4251091]Maoni karibu yote yaliyotolewa hapo juu yanaonyesha chuki dhidi ya hao makada wa ccm ambao ambao maneno na vitendo vyao vinakera wananchi. Waliotoa maoni ni sehemu ndogo tu ya jamii lakini inaweza kuonyesha ni jinsi gani jamii ya Kitanzania ilivyoshoshwa na dana dana za ccm. Kitu cha kushangaza ni kwamba macho na masikio ya makada hao yamezibwa kiasi cha kutokujua ni kitu gani kinaendelea!
[/QUOTE]

Sidhani kuwa hao walioandika Facebook ni wanachama wa Chadema. Naamini kuwa hawa watu pamoja na chama chao wamepoteza maana ya kuwepo na kuiongoza nchi. Kutokana na maoni yalioyoandikwa yanaonyesha kuwa asilimia kubwa ya Watanzania hawavutiwi na chama hiki tena.
 
Hii nimeitoa facebook na hapa chini ni maoni ya vijana wengi kuhusu hawa makada wa ccm:

https://www.facebook.com/photo.php?....10151029566169339.443590.109362579338&type=1

  • 1 share
    • Tell us about themabout an hour ago ·

    • nini tena au kavuliwa gamba m2about an hour ago ·

    • magamba magumuabout an hour ago ·

    • wanaongelea nini hapo?about an hour ago ·

    • ma swahiba nn hawa au!about an hour ago ·

    • mhhabout an hour ago ·

    • wenye nchi!about an hour ago ·

    • mafisadiabout an hour ago ·

    • Mjambazi namba moja Tanzania!about an hour ago ·

    • Rais wa Chama cha Mabwepande.about an hour ago · · 1

    • CCM ya leo, jamani kazi ipo.about an hour ago · · 1
    • jipya niniabout an hour ago · · 1

    • Mabweabout an hour ago · · 1

    • makamanda hao,about an hour ago ·

    • CCMabwepande!about an hour ago · · 1

    • wanafiki wazandiki mafedhuli wehu wahuni wasalitiabout an hour ago · · 1

    • vijana wamepotea kwa kukosa maarifa.about an hour ago · · 1

    • Hawana jipya hao.about an hour ago · · 1

    • hawa na tainganyika ya kushotoabout an hour ago ·

    • je wako upande gani?about an hour ago ·

    • WaNaFiKiRiA La KuWaDaNgAnYa WaTaNzAnIaabout an hour ago ·

    • kwan ni nani huyo jamanabout an hour ago ·

    • inchi hii co kila m2 ashike chake mapemaa hivi wewe jk vip huna machoabout an hour ago ·

    • Kurudi nyuma nayo kasiabout an hour ago ·

    • Wazushi tu wananikera kinomaabout an hour ago ·

    • Hovyooo!about an hour ago ·

    • Wala nchi ndo hao somen na niny mle ka waoabout an hour ago ·

    • Huyu jamaa ndo yule mropokaji!about an hour ago ·

    • Wananihariba cku . Kiv cc wana2ona ha2na akil 2shakubali maisha ya bla kaz 2tfka 2. about an hour ago ·

    • nani hataki kushika bro? we kama umeona wahi ohhh, utakuja kuulizwa huko mbinguni kama ipo.about an hour ago ·

    • who's this antics54 minutes ago ·

    • Dawa ya mjinga ni kumnyamazia ili ajione ana akili kuliko wote.52 minutes ago · · 1

    • Kichefuchefu!52 minutes ago ·

    • magamba hayo hakuna jipya hapo44 minutes ago ·

    • natapika mie,44 minutes ago ·

    • Mwigula hana hoja , ni specialist wa mipasho, yuko mjengoni ndivyo sivyo.for his belly43 minutes ago · · 1

    • wazee wa propaganda hasi25 minutes ago ·

    • Matapeli hao23 minutes ago ·

Hawa mbuzi kwa tabia zao, watakuwa gays!
 
Kweli siasa za singida.(mufwanga na ulaeleani)
hata kuku wa huko ni watamu sana
na beki tatu wa huko nasikia wanapiga mzigo ile mbaya.
 
Back
Top Bottom