Muonekano wa daraja la Manzese 'kesho'....sio 'leo'!
kaka Riwa, nakutafuta upande wa pili, kacheki plz.
Mungu ibariki ndoto yako iwe ya kweli, lakini itabidi kwanza uwaondoe wale vibaka maana watauza hizo nakshi zote.manzese leo ilivyo
Pole...ndio kwanza natia mguu toka vijijini kwa waTanzania wa kweli! Sioni PM...au umenicheck wapi?
Muonekano wa daraja la Manzese 'kesho'....sio 'leo'!
Manzese ipi?:spy: