Muonekano Vs nafasi/Position ya mtu

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
wadau nimejionea tu mwenyew hapa, unajua mtu mwingine unaweza kumkadiria wadhifa wake kutokana na muonekano wake,
mfano.
Ngelejah - Uwaziri> >> Rhight
Filikunjombe - MP >> Right
Mh Mgimwa- Waziri wa Fedha->> namfananisha na mwalimu wa primary
 
Back
Top Bottom