Munishi: Michael Jackson is NOT DEAD

huyu jamaa ananichanganya kidogo maana kama anachanganya siasa na dini!
 
SURE... Ana points fulani nzito huyu jamaa, hatuna haja ya kuangalia maisha yake ya

nyuma yalivyokuwa, maana aliamua ku`repent, na anaishi maisha ya kawaida.

Sioni shida katika tone yake, na bado sijaifananisha sauti yake na ya mtu mwingine!
mkuu kwahiyo mtu akiwa na record mbaya nyuma tusiangalie sio? inamaana rostam akiamua kujenga barabara na akija na hoja nzuri tusimuangalie nyum tumpe urais. Jipange mkuu, toa hoja kiuangalif
 
mkuu kwahiyo mtu akiwa na record mbaya nyuma tusiangalie sio? inamaana rostam akiamua kujenga barabara na akija na hoja nzuri tusimuangalie nyum tumpe urais. Jipange mkuu, toa hoja kiuangalif


Kila mtu ana dhambi na rekodi ya matendo mabaya katika historia ya maisha.
Huyu bwana nadhani alikuwa kibaka zamani, lakini huo uwizi wake huwez kuufananisha na ule wa akina RA, maana hawa wanaibia watu millioni40 kwa wakati mmoja, na pesa miingi sana!
 
Watu wa marketing wapo flexible kweli kweli,watafanya biashara ktk mazingira yoyote yale,ilimradi yawavutie,picha niliyoipata hapa ni yakibiashara tupu!!
 
Huyu mtu anaimba vizuri sana lakini he is very foul mouthed. Huyu nadhani ndiye aliyesema kwamba,''Ingawa siyo vizuri kuwasema watu ambao wamekufa,lakini kwa vile sasa hivi Mwalimu Nyerere yupo London katika life-support,hakuna ubaya kumsema.''
 
Huyu ndiye mtu ambaye nilielezwa nilipokuwa Moshi,kwamba alikuwa jambazi sugu,[yaani 'jambazi' in the literal sense of the word],halafu baadaye akaokolewa na Bwana Yesu.
 
Huyu wakati fulani alikuwa akiposti kwenye website yake propaganda za kuiponda serikali ya JK sijui walimnyamazisha au alichoka mwenyewe?
 
Munishi alikuwa zamani, siku hizi kaishiwa toka lini dini ukachanganya na siasa.
 
Munishi alikuwa zamani, siku hizi kaishiwa toka lini dini ukachanganya na siasa.

Kweli kabisa Pretty,Munishi alikua zamani sio sasa hivi,ukishaanza kuchanganya siasa na dini yaani ina maana umefulia,kwa hiyo huyu jamaa alishafulia siku nyingi niliona hana maana pale alipoanza kuwaponda viongozi wa serikali na kueneza kanda za kashfa,yaani huyu ni ovyo kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom