Munishi: Michael Jackson is NOT DEAD

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=X-gNt3n8ZlU"]http://www.youtube.com/watch?v=X-gNt3n8ZlU[/ame]
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=kjgmVVintkU"]http://www.youtube.com/watch?v=kjgmVVintkU[/ame]
 
Mhhh.....hii inawezekana kuwa practicable kweli?

Jamani kweli hali hii imeenda kwengine...du!
 
Mm nicheke mie

Msindima, na eRRy84,
Tafadhali msinivunje mbavu.
Huyu ni yule Munishi kweli au?
Ndiye aliyeimba haya:
doubleline.jpg

vol1large.jpg
SIDE A
  1. Ninyime Vyote Niachie Yesu
  2. Maisha Yalitisha
  3. Fashoni Ni Yesu
  4. Anakuita
  5. Waokoe Vijana
  6. Uliyaona Zamani?
SIDE B
  1. Ulimi
  2. Pesa
  3. Dhambi
  4. Siku Za Mwisho
  5. Nielezeje
 
hapa pana harufu ya tangazo la biashara mwenye kubisha aseme........................
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=mHp4yWAkdzY"]http://www.youtube.com/watch?v=mHp4yWAkdzY[/ame]
 
hili jambazi bado lipo?yaani nimecheka mpaka basi,nashindwa kuelewa kama kagame anakamata wahalifu wake dunia nzima tanzania inashindwa kudaka hii jamaa moja tu,tena hapo kenya
 
Hahahaha, nilitaka kusema Mazee Munishi si alikamatwa kwa ujambazi, imekuwaje?

Halafu whats up with that fake tone? Why can't people on TV speak with their natural tone? Everybody wants to be Reinfred Masako?

Otherwise anayosema mengine ni ya kuzingatiwa.
 
SURE... Ana points fulani nzito huyu jamaa, hatuna haja ya kuangalia maisha yake ya

nyuma yalivyokuwa, maana aliamua ku`repent, na anaishi maisha ya kawaida.

Sioni shida katika tone yake, na bado sijaifananisha sauti yake na ya mtu mwingine!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom