Munishi: Chadema haiko tayari kuiacha nchi iendelee kuwa chini ya panya by 2015

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Aug 4, 2008
271
43
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao.

Munishi alitoa kauli hiyo ijumaa ya wiki iliyopita jijini Londoni alipokuwa akizungumza na wanachadema Tawi la Uingereza ambapo pia aliongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje. Munishi alisisitiza wao kama vijana watabeba dhamana ya kuhakikisha hilo halitokei kamwe.

Source: Ukurasa wa wa kitabu uso wa Munishi.

My take;
Munishi alikua akimjibu Januari Makamba aliyesema CCM haitakubali serikali kuwa chini ya upinzani na pia kutumia neno.

Maana yake uchguzi mkuu 2015 hapatatosha
 
hawa ndio vijana tunaowapenda wenye uthubutu wa kusema bila kuangalia wanayemsema ana kiasi gani cha fedha sikitiko langu linazidi kuona vijana wengine wa chadema wamegeuka kuwa mic za matusi kutukana viongozi wa chama chao tena hata kwenye midahalo jamani chadema na kwa ujumla wenu viongozi wa juu mf kitendo cha kijana yule anayeitwa GWAKISA kumsema vibaya mwkt wa bavicha jana ITV live bila collaboration kuwepo kati ya hoja yake na heading iliyokuwepo ya siku ya mwl nyerere na utendaji kazi wa heche ni aibu kwa chama, pale pale nje aliendelea kumtukana saana mbunge sugu wa chadema kuwa alikuwa muosha magari marekani huku akipata support ya vijana wengi tuliowa sadiki kama wana cc n CHADEMA hasa BAVICHA kuweni macho na adui aliye ndani kuliko yule aliye nje hawa akina GWAKISA ni hatari saana
nakala kwa
TUMAINI MAKENE
JOHN MREMA
MNYIKA
NA WEWE BWANA MUNISHI
 
Mtei atashuhudiaChadema ikijifia kabla hata ya yeye hajafa.
 
Safi sana makamanda....Panya ni wanyama waharibifu sana, ukiwaacha wanaweza leta madhara makubwa..Dawa ni kuwaangamiza kabisa...
 
hawa ndio vijana tunaowapenda wenye uthubutu wa kusema bila kuangalia wanayemsema ana kiasi gani cha fedha sikitiko langu linazidi kuona vijana wengine wa chadema wamegeuka kuwa mic za matusi kutukana viongozi wa chama chao tena hata kwenye midahalo jamani chadema na kwa ujumla wenu viongozi wa juu mf kitendo cha kijana yule anayeitwa GWAKISA kumsema vibaya mwkt wa bavicha jana ITV live bila collaboration kuwepo kati ya hoja yake na heading iliyokuwepo ya siku ya mwl nyerere na utendaji kazi wa heche ni aibu kwa chama, pale pale nje aliendelea kumtukana saana mbunge sugu wa chadema kuwa alikuwa muosha magari marekani huku akipata support ya vijana wengi tuliowa sadiki kama wana cc n CHADEMA hasa BAVICHA kuweni macho na adui aliye ndani kuliko yule aliye nje hawa akina GWAKISA ni hatari saana
nakala kwa
TUMAINI MAKENE
JOHN MREMA
MNYIKA
NA WEWE BWANA MUNISHI

Ni kauli nzito kwani panya wa taifa hili wanajijua na nadhani wakisikia hivyo wanatetemeka vibaya mbaya!

Mimi nadhani wakina Heche na Munishi hawapaswi kukatishwa tamaa na hawa vijana wachache wanaotumika katika maradi mkubwa wa kuiangamiza Chadema. I think they are playing a loosing game for sure.

Heche na Munishi songeni mbele katika kazi zenu ambazo tunazikubali.
 
hawa ndio vijana tunaowapenda wenye uthubutu wa kusema bila kuangalia wanayemsema ana kiasi gani cha fedha sikitiko langu linazidi kuona vijana wengine wa chadema wamegeuka kuwa mic za matusi kutukana viongozi wa chama chao tena hata kwenye midahalo jamani chadema na kwa ujumla wenu viongozi wa juu mf kitendo cha kijana yule anayeitwa GWAKISA kumsema vibaya mwkt wa bavicha jana ITV live bila collaboration kuwepo kati ya hoja yake na heading iliyokuwepo ya siku ya mwl nyerere na utendaji kazi wa heche ni aibu kwa chama, pale pale nje aliendelea kumtukana saana mbunge sugu wa chadema kuwa alikuwa muosha magari marekani huku akipata support ya vijana wengi tuliowa sadiki kama wana cc n CHADEMA hasa BAVICHA kuweni macho na adui aliye ndani kuliko yule aliye nje hawa akina GWAKISA ni hatari saana
nakala kwa
TUMAINI MAKENE
JOHN MREMA
MNYIKA
NA WEWE BWANA MUNISHI

Mkuu usijali. Kwani hujui kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani?

Nimefuatilia fuatilia sasa najiridhisha kuwa BAVICHA ililamba dume kuwa na katibu kama Munishi. Kama kuna mtu anamfahamau kwa undani huyu kamanda ebu atutupie full CV yake. Na wale waliokuwa Uingereza hebu watutupie mapicha hapa tuyaone.
 
Msema kweli yuko njiani na siyo mwingine zaidi ya 2015!

ccm ilizaliwa 1977
zika rasmi...... 2015
 
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao.

Munishi alitoa kauli hiyo ijumaa ya wiki iliyopita jijini Londoni alipokuwa akizungumza na wanachadema Tawi la Uingereza ambapo pia aliongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje. Munishi alisisitiza wao kama vijana watabeba dhamana ya kuhakikisha hilo halitokei kamwe.

Source: Ukurasa wa wa kitabu uso wa Munishi.

My take;
Munishi alikua akimjibu Januari Makamba aliyesema CCM haitakubali serikali kuwa chini ya upinzani na pia kutumia neno.

Maana yake uchguzi mkuu 2015 hapatatosha

Naombeni mnisaidie hivi kuku wakuchora analiwa nyama? anabweka? anaweza kudonoa na kula ?
 
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao.

Munishi alitoa kauli hiyo ijumaa ya wiki iliyopita jijini Londoni alipokuwa akizungumza na wanachadema Tawi la Uingereza ambapo pia aliongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje. Munishi alisisitiza wao kama vijana watabeba dhamana ya kuhakikisha hilo halitokei kamwe.

Source: Ukurasa wa wa kitabu uso wa Munishi.

My take;
Munishi alikua akimjibu Januari Makamba aliyesema CCM haitakubali serikali kuwa chini ya upinzani na pia kutumia neno.

Maana yake uchguzi mkuu 2015 hapatatosha

Haya ni maneno ya kijasiri kutoka kwa kijana jasiri.

Kazeni mwendo BAVICHA vijana wa Tanzania wanawategemea ninyi.
 
Kuna kitu nimekiona hapa, wiki iliyopita January Makamba alisema CCM haiko tayari kuicha dola 2015 na ndugu yake Mwigulu Nchemba alimvalisha mbwa bendera ya CHADEMA. Nona kauli hii ya munishi ni kujibu mapigo ya vijna hao wa CCM hasa kwa kutumia neno PANYA.

Kama CCM haiko tayari kuiachia dola 2015 na Chadema haiko tayari kuicha dola kuendela kuwa chini ya panya na wote hawa ni vijana , nini itakua mstakabali wa taifa 2015?
 
Back
Top Bottom