Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ambulance inatia huruma sana. Mungu awarehemu mafisadi wa Tanzania kwani hawaoni kile wanafanya.
Ukwaju, we usitake kukataa, mazingira ya Tanzania yanajulikana kabisa, ukienda mikoa ya Singida na Dodoma vijijini hauwezi kukosa hali kama hii, tena bora hawa inakokotwa na ng'ombe. kuna sehemu nyingine kina mama wajawazito wanakokotwa mpaka na mkokoteni wa tairi moja, tukikubali ukweli kwamba tumesahau kuwekeza baadhi ya sekta maalumu nadhani tutasonga mbele.Picha ya kwanza sio TZ hao punda ni huko Zimbabwe
Picha ya pili ni kweli TZ sioni ulazima ukiwa Dar upande Corolla au Daladala mm nimesoma Mwitikira P/school na nilikaa Mtitaa km 6 unaamka usiku sio alfajiri
Hizo picha 3 na 4 sijui ni Rais gani agome utamaduni wa mwenyeji au agomee mwaliko ba Itifaki
Mwezi uliopita Katibu na Mkiti wa vyama vya siasa wametembelea USA na UK hatukuhoji huu ubavu unatoka wapi?
Hahaha hii ndio t bana ukikataa unahama bana si walitoa kura kwa kula
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ukwaju, we usitake kukataa, mazingira ya Tanzania yanajulikana kabisa, ukienda mikoa ya Singida na Dodoma vijijini hauwezi kukosa hali kama hii, tena bora hawa inakokotwa na ng'ombe. kuna sehemu nyingine kina mama wajawazito wanakokotwa mpaka na mkokoteni wa tairi moja, tukikubali ukweli kwamba tumesahau kuwekeza baadhi ya sekta maalumu nadhani tutasonga mbele.
Unaongelea suala la mwenyeji kumkarimu mgeni, nimekushangaa sana, sijui unaishi karne gani. kwa taarifa yako Canada ni nchi ya kibepari na hawana utamaduni wa kukarimiana, wao kwa wao hawajikarimu itakuwa mgeni!! na hii sio kwa hao Canada tu bali ngozi nyeupe kiufupi hawajui kitu kinachoitwa ukarimu au utu, kama ilikuwepo hiyo ni miaka 500 iliyopita. wao katika kujenga urafiki na mahusiano kwa ujumla wanachoangalia zaidi ni pesa, ama ni jinsi gani wanaweza kunufaika na huo uhusiano. na wakishanufaika tu basi na urafiki unakomea hapo wanakwenda kuanza kujenga uhusiano mwingine.
Barrick Gold wale ni wacanada, hivyo ni lazima wampe treatment ya kutosha huyu ****** ili kulinda maslahi yao yaliyopo Tanzania, naye ****** huenda akavimbiwa kichwa kwa kudhani kwamba anapata special treatment!
Kumbe ukweli ni kwamba hawa jamaa huwa wana strategy kali sana, kwanza wanamsoma mtu wanayedeal naye, wakishagundua tu udhaifu wake , Kwisha kazi! na kama unavyojua huyu ndugu yetu ana udhaifu wa aina kedekede , ikiwamo udhaifu wa kupenda kuuza sura. hebu angalia hapo chini:
Hapa analainishwa!
sasa hebu niambie, kikwete anachezea timu gani mpaka apewe jezi?
Hapa kalainika
View attachment 67240
kama picha zinavyojieleza hapo juu, ukiangali hapo anaposaini utaona kwamba nyuma yake kuna wanasheria, upande wa kushoto na kulia kuna njemba hizo zimevaa badge za vyeo vya kijeshi, inaonekana hao wote hapo ni top officials , hivyo moja kwa moja naamini hapo kuna jambo kubwa sana linafanyika , iwe kati ya kuongeza msamaha wa kodi kwa makampuni ya kigeni yanayochimba madini, ama JK ndio hivyo tena anasaini mkataba mpya wa madini. utashangaa utakaposikia kwamba wamepewa kuchimba madini kwa miaka 200 na msamaha wa kodi juu, lolote linawezekana kwani Tanzania karibu kila kona kuna madini na yanachimbwa kwa kasi, tukija kuamka tutakuta kweupe.
Hebu angalia tofauti kubwa iliyopo hapa chini:
Mlipa kodi
View attachment 67134View attachment 67135
Mtafuna Kodi:
View attachment 67137
View attachment 67138
kama picha na kichwa cha habari zinavyojieleza, je una maoni gani? je umeridhika na hali hii? toa maoni yako tafadhali.