Mungu mkubwa.........

Ndugu zangu wana chit chat,jioni ya jumapili kuamkia j3 kama saa mbili usiku nikiwa kwenye baiskeli yangu nilipata bahati mbaya na kujikuta kwa bahati mbaya naingia kwenye njia ya Tram na kupoteza balance,hali iliyosababisha kuanguka na kupoteza fahamu.Nashukuru nilichukuliwa na Ambulance na kufikishwa hospitali ambapo nilipumzishwa na kuruhusiwa siku ya jumatatu mchana na nimekuwa katika mapumziko na kusaidiwa na dawa za kupunguza maumivu,na hali sio mbaya sana japo nina maumivu kidogo katika upande wa kulia..

Paka Mweusi, Nadhani unatafuta sympathy kwa ku-share feelings of JF members kutokana na yaliyokukuta. Any way pole sana, get well soon.
 
Asante kaka ila kiukweli mimi nawachukulia wanachit chat kama familia yangu kutokana na upweke nilionao hapa ninapoishi na ndio maana nikaona si vibaya kuwashirikisha kilichonipata, na nina mpango wa kutafuta mtu ili awe kwenye simu yangu na aweze kufahamisha wana JFendapo lolote litanipata wawe na taarifa na sio kushituka tu Mtakatifu amepotea...
 
Ndugu zangu wana chit chat,jioni ya jumapili kuamkia j3 kama saa mbili usiku nikiwa kwenye baiskeli yangu nilipata bahati mbaya na kujikuta kwa bahati mbaya naingia kwenye njia ya Tram na kupoteza balance,hali iliyosababisha kuanguka na kupoteza fahamu.Nashukuru nilichukuliwa na Ambulance na kufikishwa hospitali ambapo nilipumzishwa na kuruhusiwa siku ya jumatatu mchana na nimekuwa katika mapumziko na kusaidiwa na dawa za kupunguza maumivu,na hali sio mbaya sana japo nina maumivu kidogo katika upande wa kulia..
hiyo sio bongo..... Jaribu bongo uone AMBULANCES za vibajaji
 
Na mpaka zifike wameshakulamba kila kitu,lakini nashukuru nilipozinduka kila kitu changu nilikikuta pembeni kwenye droo ikiwemo wallet na pesa zote zilizokuwamo......
 
That's y wewe ni mtakatifu. Ungeshabadili jina uitwe marehemu kama siyo utakatifu wako. Nakutakia upone upesi na please double check usijekuwa uliumia ndani. GWS, St. PM.
 
Ndugu zangu wana chit chat,jioni ya jumapili kuamkia j3 kama saa mbili usiku nikiwa kwenye baiskeli yangu nilipata bahati mbaya na kujikuta kwa bahati mbaya naingia kwenye njia ya Tram na kupoteza balance,hali iliyosababisha kuanguka na kupoteza fahamu.Nashukuru nilichukuliwa na Ambulance na kufikishwa hospitali ambapo nilipumzishwa na kuruhusiwa siku ya jumatatu mchana na nimekuwa katika mapumziko na kusaidiwa na dawa za kupunguza maumivu,na hali sio mbaya sana japo nina maumivu kidogo katika upande wa kulia..

dah pole sana shem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom