Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
Kama ni mkatoliki utanielewa.
Upadri ni sakrament kama ubatizo
Dhambi za padri hazikuhusu muumin
kwani sie waumini hata tukiua tunanyang'anywa ubatizo wetu?
Ukitoa hiyo hela umechangia uinjilishaji kwa njia fulani
basi katoe hata kwa yatima

Siamini kama Mungu yu ndani ya paroko wangu ambae ana watoto kadhaa nje ya ndoa(my god! Kumbe hata ndoa hana)!
Nasisitiza nataka mwongozo wa kumrudishia Mungu kilicho chake katika namma inayofaa...