Mungu mkubwa: Nusura iwe siku mbaya kuliko zote maishani...

kama huendagi kanisani au mskitini hima ukamshukuru Mungu na utoe fungu la ten mana ungeona rangi zote

nadhani Manji anatoa sana hii kitu.
Kuna uhusiano na imani?
Fungu la kumi kwa Kanisa Katoliki no! Labda aje mtu anipe mwongozo mwingine wa kutekeleza hili...
 
kama lingetokea kweli hilo tukio kule mitaa ya bariadi jamaa angekuaje sasa hivi...? manake MURA wange muumiza sana asee...!

Bariadi kuna akina Mura ndugu?
Au mie ndo sijui Jiografia yetu?
 
Kweli huyu jamaa anaboa ile mbayaaaaa..... Ningekuwa karibu naye kila wakati angekuwa anakula za uso.

Acheni kumzingua mwanangu washa bana...
Kila mtu ana swaga zake.
Sawasawa?
 
nadhani Manji anatoa sana hii kitu.
Kuna uhusiano na imani?
Fungu la kumi kwa Kanisa Katoliki no! Labda aje mtu anipe mwongozo mwingine wa kutekeleza hili...

:pray2::pray2::pray2:
Mrudishie Bwana kilicho chake. Umekoswakoswa na mkasa kama huo, halafu huwezi kumrudishia Bwana chake?!?!
 
Kama huamini unaweza kujikuta unacheka ila kama unaamini utalazimika kusema pole mkuu.
Pole mkuu, sali kwa dini yako umshukuru Mungu maana mazingira yalikuwa yanakubana sana.
Ni lazima ungeenda kumsalimu babu Seya kimtindo. Shukuru Mungu sana.
 
:pray2::pray2::pray2:
Mrudishie Bwana kilicho chake. Umekoswakoswa na mkasa kama huo, halafu huwezi kumrudishia Bwana chake?!?!

Siamini kama Mungu yu ndani ya paroko wangu ambae ana watoto kadhaa nje ya ndoa(my god! Kumbe hata ndoa hana)!
Nasisitiza nataka mwongozo wa kumrudishia Mungu kilicho chake katika namma inayofaa...
 
as said driller, nilikuwa natengeneza flow ya tukio. Kuliko ningeruka mazima na kusema chenye kilitokea, maswali ya ulikuwa wapi, ukifanyani n.k nimeyaepuka.
Sawasawa?

Kina Kanumba wataiba idea.
 
Kama huamini unaweza kujikuta unacheka ila kama unaamini utalazimika kusema pole mkuu.
Pole mkuu, sali kwa dini yako umshukuru Mungu maana mazingira yalikuwa yanakubana sana.
Ni lazima ungeenda kumsalimu babu Seya kimtindo. Shukuru Mungu sana.
nishamshukuru
Mungu mdau...
Mimi iko ogopa sana jela!
 
Siamini kama Mungu yu ndani ya paroko wangu ambae ana watoto kadhaa nje ya ndoa(my god! Kumbe hata ndoa hana)!
Nasisitiza nataka mwongozo wa kumrudishia Mungu kilicho chake katika namma inayofaa...

Unahitaji kurudisha imani yako mkuu. Kwani kwa sasa unaamini hilo fungu la kumi unampa paroko!!!
 
Mkuu hivi PakaJimmy yupo kwa machaliii? Nina hamu sana ya kumjua huyu jamaa naonaga ana michango yuko poa.

kama sijakosea!
Kitu ka' hcho, nilisikia anakaa AR, kipindi cha babu wa Loliondo alikuwa akipiga dili za kusafirisha raia!
 
Unahitaji kurudisha imani yako mkuu. Kwani kwa sasa unaamini hilo fungu la kumi unampa paroko!!!

ni kweli. Huwa analichukua, na naona prosperity in him, tofauti na sie raia kondoo anayetuchunga.
Nasisitiza sitoi fungu la kumi kwa Fr. Fulani!
 
ni kweli. Huwa analichukua, na naona prosperity in him, tofauti na sie raia kondoo anayetuchunga.
Nasisitiza sitoi fungu la kumi kwa Fr. Fulani!

Ni suala la kiimani zaidi kama hauna, basi ni rahisi kuona kama unavyoona sasa..Kama Abraham angekua na mtazamo kama wako hakika alivyoambiwa amtoe kafara mwanae angeona ameambiwa amuuwe mwanae!!

Lipo kiimani zaidi..

Good day.
 
Muraa tungarikuwa tumemura muzima

amgongeshe Ghati au Rhobi?

Wakati sie tumeshamuozesha tunasubiri mahari

kama lingetokea kweli hilo tukio kule mitaa ya bariadi jamaa angekuaje sasa hivi...? manake MURA wange muumiza sana asee...!
 
Back
Top Bottom