Mungu Lihurumie Taifa hili na Wananchi Wako!

Mzee ES,

Hiyo picha ya Jk nyerere na akian Malecela hapo kwa kweli inazidi kuumiza.

Kwa kweli hata heshima tuliyokua nayo enzi zile katika siasa za kimataifa imepotea.Hebu fikiria Nyerere akiwa Rais and Malecela foreign affairs.no wonder even our foreign policies zimebaki zile za Nyerere na Cold war era.

Lakini angalia hivi sasa,i wonder tungekua ktk position gani kama hawa walioko wangekua viongozi katika vita ya kagera,enzi za cold war etc

Mwenyezi Mungu akurehemu Mwalimu,siku moja heshima yetu kama Taifa itarudi.We need to restore aour dignity,we need to reclaim our prestige at the international level.!!!!
 
- Hizi zilikuwa enzi za uongozi wa kweli na uliotukuka, wengi wetu hatukuelewa sana what we were going through kiuongozi ni sasa baada ya kuona haya maajabu ya hawa viongozi wetu ndio tumeanza kukumbuka zamani kwamba sawa tulikuwa na matatizo, lakini hakukuwa na tofauti kubwa sana kati ya maisha ya viongozi wetu na sisi wananchi wa kawaida, hakukuwa na ni hii gap ya utajiri wa ajabu tunayoishuhudia sasa among us yaani wananchi na viongozi,

- This man Mwalimu Mungu amuweke pema huko aliko, yaani to add the salt to the injury eti kuna siku hawa viongozi wetu wa sasa walienda kufanya mkutano wao karibu na kaburi lake, ambapo kidogo wavunje Muungano, ndio maana tunasema njia zote zinaposhindikana kama tulipo sasa hili taifa, sio vibaya tukamuomba Mungu japo kidogo tu asikie kilio chetu baadhi yetu wananchi wa hili taifa, kwamba alihurumie hili taifa japo kidogo atunusuru na hawa viongozi uchwara ambao hawana habari kabisa na wananchi wanaodai kuwajali,

- Halafu cha ajabu zaidi hawa viongozi wengi wa sasa walikuwa wanafunzi wa the Great Mwalimu, Mungu amuweke pema, mimi nimesoma shule bure kuanzia Vidudu, Primary mpaka High School bure, siku zote nilipokuwa ninasafiri kwenda shule nilikuwa ninapewa Warrant ya kusaifiria na hela za posho ya kula njiani, Mwalimu aliwakusanya kwa nguvu kabila moja la Watindiga na kuwaleta shule ili wasome waamke usingizini, sasa hakuna cha elimu wala uongozi kila mtu na vyake tu, well tutaendelea kuwapigia kelele viongozi na pia sometimes kujikumbusha tulikotoka, kabla hawa maviongozi uchwara hawajafuta historia ya taifa.

Mungu Aibariki Tanzania na Mwalimu Popote Aliko Huko Mbinguni, And Yes I said It! Ambariki Mwalimu.

Respect.

FMEs!
 
18151_300933767970_658587970_3492309_2298976_n.jpg

This is how viongozi wetu wanajitafutia uongozi, huko kijijini hakuna mwenye any-idea kwamba huyu kiongozi ana shutuma za kupewa rushwa za radar, amekodisha lori na wapambe kibao anapiga kampeni na atashinda tena...lol!

Respect.

FMEs!

..nimeanza kuelewa kwanini kwenye demokrasi za nchi fulani peasants walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura,maana hapo tatizo sio Chenge tena.
 
- Hizi zilikuwa enzi za uongozi wa kweli na uliotukuka, wengi wetu hatukuelewa sana what we were going through kiuongozi ni sasa baada ya kuona haya maajabu ya hawa viongozi wetu ndio tumeanza kukumbuka zamani kwamba sawa tulikuwa na matatizo, lakini hakukuwa na tofauti kubwa sana kati ya maisha ya viongozi wetu na sisi wananchi wa kawaida, hakukuwa na ni hii gap ya utajiri wa ajabu tunayoishuhudia sasa among us yaani wananchi na viongozi,

- This man Mwalimu Mungu amuweke pema huko aliko, yaani to add the salt to the injury eti kuna siku hawa viongozi wetu wa sasa walienda kufanya mkutano wao karibu na kaburi lake, ambapo kidogo wavunje Muungano, ndio maana tunasema njia zote zinaposhindikana kama tulipo sasa hili taifa, sio vibaya tukamuomba Mungu japo kidogo tu asikie kilio chetu baadhi yetu wananchi wa hili taifa, kwamba alihurumie hili taifa japo kidogo atunusuru na hawa viongozi uchwara ambao hawana habari kabisa na wananchi wanaodai kuwajali,

- Halafu cha ajabu zaidi hawa viongozi wengi wa sasa walikuwa wanafunzi wa the Great Mwalimu, Mungu amuweke pema, mimi nimesoma shule bure kuanzia Vidudu, Primary mpaka High School bure, siku zote nilipokuwa ninasafiri kwenda shule nilikuwa ninapewa Warrant ya kusaifiria na hela za posho ya kula njiani, Mwalimu aliwakusanya kwa nguvu kabila moja la Watindiga na kuwaleta shule ili wasome waamke usingizini, sasa hakuna cha elimu wala uongozi kila mtu na vyake tu, well tutaendelea kuwapigia kelele viongozi na pia sometimes kujikumbusha tulikotoka, kabla hawa maviongozi uchwara hawajafuta historia ya taifa.

Mungu Aibariki Tanzania na Mwalimu Popote Aliko Huko Mbinguni, And Yes I said It! Ambariki Mwalimu.

Respect.

FMEs!

Viongozi hao wawili hapo juu hawafanani kwa sura lakini walikuwa wanafanana kwa UZALENDO wao!

You've said it FMEs! Those were the good old golden days when Tanzania was a country to be proud of. We were all sons and daughters of Tanzania treated equally in all aspects. Hata hivi sasa nchi hii inaweza kabisa kusomesha wana wa Tanzania bure kama ilivyokuwa huko nyuma. We have the resources kinachohitajika ni kugawa keki ya Taifa kwa usawa unaostahili.

Umefanya niwaze mbali sana! Big up Mkuu for your great contributions.
 
Kwa kawaida Mungu hafanyiwi Mzaha kama tunavyo fikiri.
Bahati haiji mara mbili walisema wahenga.
Wakati Baba wa taifa J . K . Nyerere alipotangaza Azimio la Arusha kulikuwa na wanafiki wengi.
Walienda nalo hivyo hivyo kwakuwa mkubwa amesema lakini walikuwa wakitamani Ubepari.
Walipoona afya yake inalegalega Wakaenda Zanzibar wakajificha huko na Kutokomeza Azimio la Arusha.
Baada ya kufa Nyerere Waliibuka Mabepari ambao kwa sasa wanaitwa mafisadi.
Hii ni hatari.
Hivi sasa kunatofauti kubwa baina ya maskini na Matajiri.
Idadi ya maskini ikiendelea kuwa kubwa hadi kufikia asilimia 80 na asilimia 20 ni Matajiri utawaka moto mkubwa ambao hautazimika.
Hata ziitumika nguvu za namna gani hazitashinda nguvu za Umma.
 
For sure hata wanavyoonekana pichani ni wazalendo wa kweli..Naamini ipo siku tutarudi na kuwa na hali kama ile,alikni ni mpaka CCM imeguke na itoke madarakani...
 
- Enzi za uongozi wa kweli wa cheo ni dhamana tu kutoka kwetu wananchi, sio haki kwa sababu ya kuwa affiliated na Mtandao, badala ya wananchi.

Respect.

FMEs!
 
Jamani naomba kujuzwa, hivi Mwalimu alikuwa akivaa shati la kijani nyakati za vikao au shughuli za chama? Binafsi sikuwahi kuona....maaana hawa ndugu zet huwa hata shughuli za kiserikali au kitaifa wao wanatinga kijani tu!

Sidhani na sijawahi kumuona kabisa hata mimi Mwalimu hakua na tabia hii na sijui wameitoa wapi hawa! Huu uchafu upo CCM tu hakuna nchi wala chama kingine duniani kinafanya mambo haya. Katika vitu ninavyovichukia Tanzania nia haya magwanda ya kijani na njano, yanatia kichefuchefu ile mbaya. Hii ndo njia wanayotumia kutoa rushwa ya kupata uongozi wakijua waTz wengi wanahitaji kuvaa na hawana uwezo wa kutosha
 
18162_1381895546651_1209820481_31145321_6990997_n.jpg

Mungu atuhurumie sana hili taifa siku moja turudie hizi enzi za honor and dignity kwa viongozi wetu, walikuwa na heshima, walikuwa na ustaraabu kidogo, waliwaheshimu sana wananchi, waliongea kero za wananchi sio kero za mafisadi na kulindana.

May God Bless My Nation Tanzania.

Respect.

FMEs!

Kuna wito kwa taifa letu kuangalia nyuma kidogo tu; hii picha inanifanya nifikirie mengi sana.
 
These were the true Sons of Tanzania, nilitegemea viongozi wetu wa sasa wangewachukulia hawa kama role models wao lakini wao wamekuja ma mfumo wao mpya kabisa.,nalionea huruma taifa letu jamani, hatukustahili kuwa hapa tulipo, tumefikishwa hapa na hawa mafisadi, wanaojali matumbo yao na familia zao.,hakuna tena uzalendo kwani watu waliokuwa na uchungu wa kweli na taifa hili wote wamekwenda na wachache waliopo walishastaafu.,kweli wema hawana maisha..,Mungu mrehemu Mwalimu Nyerere huko alipo, naamini viongozi wetu wa sasa wanaumiza sana roho ya Mwalimu Nyerere.
 
Kinachotumaliza ni kufuata ushabiki wa kisiasa bila kujali au kutazama mbele kutatokea nini.

"MUNGU TISAIDIE ILI TUWE NA MAONO YA KUANGALIA MBALI"
 
Kuna wito kwa taifa letu kuangalia nyuma kidogo tu; hii picha inanifanya nifikirie mengi sana.
.
Gone are those good old days, ila pia nina kaswali kadogo, hawa waliobaki ambao ni Nyerere type, ambao bado wako madarakani, inamaana wameridhika na hali ilivyo sasa ndani ya system ndio maana bado wapo, wamebadilika na kukumbatia usasa, ama ndio wapo angalau kuokoa jahazi, wasingekuwepo, labda lingesha zama?
 
18162_1381895546651_1209820481_31145321_6990997_n.jpg

Mungu atuhurumie sana hili taifa siku moja turudie hizi enzi za honor and dignity kwa viongozi wetu, walikuwa na heshima, walikuwa na ustaraabu kidogo, waliwaheshimu sana wananchi, waliongea kero za wananchi sio kero za mafisadi na kulindana.

May God Bless My Nation Tanzania.

Respect.

FMEs!

Mkuu Field Marshall ES aka W. J. Malecela, Le Mutuz.

Mbona ghafla umebadilika, au ghafla njaa ilikuja ndo umepata pa kugangia njaa yako?

Umepata kazi ya kumwaga pumba za Nape sasa. Vipi unasemaje tuhuma za utapeli?
 
Last edited by a moderator:
Ananikumbusha yule mnyama aitwaye kinyonga. Yeye hubadilika rangi kutokana na mazingira aliyomo...mara mwekundu, mara kijani etc..
 
18162_1381895546651_1209820481_31145321_6990997_n.jpg

Mungu atuhurumie sana hili taifa siku moja turudie hizi enzi za honor and dignity kwa viongozi wetu, walikuwa na heshima, walikuwa na ustaraabu kidogo, waliwaheshimu sana wananchi, waliongea kero za wananchi sio kero za mafisadi na kulindana.

May God Bless My Nation Tanzania.

Respect.

FMEs!
FMES aka Le Mutuz hiyo ilikuwa Feb 15 2010. Msome leo anachoandika ndio utajua kwa nini watu wanamwita mnafiki na wengine wanaihoji CCM nani aliyempa wokovu ndani ya CCM na kuwa ndio mpiga debe wao?
Nakubaliana na wengi humu Jamvini kuwa Le Mutuz ni bonge la Tapeli na siogopi wala kuona haya juu ya fikra zangu hizo.
 
Mkuu Field Marshall ES aka W. J. Malecela, Le Mutuz.

Mbona ghafla umebadilika, au ghafla njaa ilikuja ndo umepata pa kugangia njaa yako?

Umepata kazi ya kumwaga pumba za Nape sasa. Vipi unasemaje tuhuma za utapeli?
Hakuna kumbu kumbu mbaya kama ya maandishi. Jamaa huko alipo anatamani hii thread ingefutwa na watu wasahau alichowahi kukiandika.
 
- Hizi zilikuwa enzi za uongozi wa kweli na uliotukuka, wengi wetu hatukuelewa sana what we were going through kiuongozi ni sasa baada ya kuona haya maajabu ya hawa viongozi wetu ndio tumeanza kukumbuka zamani kwamba sawa tulikuwa na matatizo, lakini hakukuwa na tofauti kubwa sana kati ya maisha ya viongozi wetu na sisi wananchi wa kawaida, hakukuwa na ni hii gap ya utajiri wa ajabu tunayoishuhudia sasa among us yaani wananchi na viongozi,

- This man Mwalimu Mungu amuweke pema huko aliko, yaani to add the salt to the injury eti kuna siku hawa viongozi wetu wa sasa walienda kufanya mkutano wao karibu na kaburi lake, ambapo kidogo wavunje Muungano, ndio maana tunasema njia zote zinaposhindikana kama tulipo sasa hili taifa, sio vibaya tukamuomba Mungu japo kidogo tu asikie kilio chetu baadhi yetu wananchi wa hili taifa, kwamba alihurumie hili taifa japo kidogo atunusuru na hawa viongozi uchwara ambao hawana habari kabisa na wananchi wanaodai kuwajali,

- Halafu cha ajabu zaidi hawa viongozi wengi wa sasa walikuwa wanafunzi wa the Great Mwalimu, Mungu amuweke pema, mimi nimesoma shule bure kuanzia Vidudu, Primary mpaka High School bure, siku zote nilipokuwa ninasafiri kwenda shule nilikuwa ninapewa Warrant ya kusaifiria na hela za posho ya kula njiani, Mwalimu aliwakusanya kwa nguvu kabila moja la Watindiga na kuwaleta shule ili wasome waamke usingizini, sasa hakuna cha elimu wala uongozi kila mtu na vyake tu, well tutaendelea kuwapigia kelele viongozi na pia sometimes kujikumbusha tulikotoka, kabla hawa maviongozi uchwara hawajafuta historia ya taifa.

Mungu Aibariki Tanzania na Mwalimu Popote Aliko Huko Mbinguni, And Yes I said It! Ambariki Mwalimu.

Respect.

FMEs!

Incredible!
 
18162_1381895546651_1209820481_31145321_6990997_n.jpg

Mungu atuhurumie sana hili taifa siku moja turudie hizi enzi za honor and dignity kwa viongozi wetu, walikuwa na heshima, walikuwa na ustaraabu kidogo, waliwaheshimu sana wananchi, waliongea kero za wananchi sio kero za mafisadi na kulindana.

May God Bless My Nation Tanzania.

Respect.

FMEs!
mungu amejibu maombi yetu ameen mkuu
 
Back
Top Bottom