Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

au 2jipe moyo kwamba kuna zingine furaha mwanzo mwisho? mie nshakwaruzana asubuhi hii bac kumsoma Cheusi nikasema ewaaaa waongezeke nao watupokelee vijimambo humu ndnai.

nataka nikuletee wifi yako umweke kitako hata sijatangaza nia amesha kuwa na wivu balaa najua wewe utamsaidia jinsi dunia inavyo zunguka

Homu boy bana! Sasa kama we unashinda continental kwa nini roho isimpande bana?

Ubarikiwe sana - mPM cheusimangala umpe shule ya uchumba - usimtishe lakini, maana wewe mmmh!

BE Nyamayao ni shoga yangu,ila leo sijisikii kusikia yale mawaidha yake.

this is my rejoicing day,nkimsikiliza Nyamayao naweza kuanza kulia in advance bure.LOL

Hongera sana dada Cheusi. Mungu wetu ni mwema siku zote hongera sana kwa kweli inafurahisha.
Nimekuwa impressed sana na dada Ashadii, dada Judith na Paka Jimmy. All the best. Mungu akutangulie ktk maandalizi yote.

BE Nyamayao ni shoga yangu,ila leo sijisikii kusikia yale mawaidha yake.

this is my rejoicing day,nkimsikiliza Nyamayao naweza kuanza kulia in advance bure.LOL

hahahaha nimecheka mpaka machozi duu ckujuaga aisee...hahahahah....na mie leo nipo kiupako zaidi, naiweka mipangilio/taratibu zenu za ndoa mikononi kwa Mungu....mbarikiwe sana.

Fidel...soma Zab ya 35 kabla ya kulala, asubuhi jikabithi kwa Mungu na Zab ya 91...sema Amen.

Kwa manufaa ya wengi hasa wapiga maji rangi ya mende

Hii ni Zaburi ya 35
1 Endesha kesi yangu dhidi ya wapinzani wangu, Ee Yehova;
Upigane na wale wanaopigana nami.
2 Ushike ngao ndogo na ngao kubwa,
Na usimame ili unisaidie.
3 Na uchomoe mkuki na shoka lenye makali kuwili ili kukutana na wale wanaonifuatilia.
Uiambie nafsi yangu: "Mimi ni wokovu wako."
4 Wale wanaoiwinda nafsi yangu na waone aibu na kufedheheka.
Wale wanaonipangia hila nipatwe na msiba na warudishwe nyuma na kufedheheka.
5 Na wawe kama makapi mbele ya upepo,
Naye malaika wa Yehova na awe akiwasukuma.
6 Njia yao na iwe giza na mahali penye kuteleza,
Naye malaika wa Yehova na awe akiwafuatilia.

Fidel...soma Zab ya 35 kabla ya kulala, asubuhi jikabithi kwa Mungu na Zab ya 91...sema Amen.

Kwa manufaa ya wengi hasa wapiga maji rangi ya mende

Hii ni Zaburi ya 35
1 Endesha kesi yangu dhidi ya wapinzani wangu, Ee Yehova;
Upigane na wale wanaopigana nami.
2 Ushike ngao ndogo na ngao kubwa,
Na usimame ili unisaidie.
3 Na uchomoe mkuki na shoka lenye makali kuwili ili kukutana na wale wanaonifuatilia.
Uiambie nafsi yangu: “Mimi ni wokovu wako.”

huyu ni wewe au macho yangu ndo hayaoni vizuri?icjekuwa umesahau kulog out na laptop inatumiwa na ma mchungaji..

hahahahaha amini sasa nimekuwa mtu mwema sasa.
Nimemgeukia muumba haya yote ni kwa hisani ya binti wa kilokole

Similar Discussions

Back
Top Bottom