Mungu amewaumba Adam na Hawa akimaanisha kwa sisi wa Tz kwamba

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Adam ni mwanadamu na Hawa akimaanisha

Hawaeleweki
Hawabebeki
Hawajiheshimu
Hawanahuruma
Hawashukuru
Hawapendeki
Hawaridhiki
Hawajatulia

Ukitaka kuwaelewa Oa alafu mchukue mama yako uishi naye, utashangaa ukirudi jioni mama yako atakupokea mzigo wakiti akiwa amekaa na mkeo au mnunulie mkeo kipande cha kanga akawii kukuambia mimi wa kanga wengine unawanunulia madira au ukimzowesha mkeo kumwachia mwekundu siku zote, siku ukimwachia buku mbili akawii kulala na jinsi usiku.

Kazi ni kwako

560268_219308834866947_1553972969_n.jpg
 
Si kweli labda kama hiyo ni tafsiri yako!

Kama unasema ni tafsiri ya mungu na pinga!

Kama ni ya kwako mwenyewe sina pingamizi maana yatakuwa ni mawazo yako na nita yaheshimu.
 
Mungu anazungumza kiswahili?

Hawa ndio Eve?

hivi Adam na Hawa kiyahudi waliitwaje?

Was Eve kiyahudi?
 
Wa kwangu kachanganywa na kibaloon kaniona sifwaaiii nikampiga chini fasta, ameshidwa kuridhika na vimiambili vyangu. Sasa kapigwa chini na njemba kimejirudisha na michozi teleee. Ohhh Dear nisamehee, shetani tu. Hawaaabebeki
 
mamako anaitwa adamu au?
mkeo alipozalia watoto wanaokuita baba anakuwa anaitwa adamu enh?
mkeo anapotengea chakula na kukuta amechota maji anakuwa anaitwa adamu enh?
mkeo alipokuuuguza ulivyoumwa anakuwa anaitwa adamu au?
mkeo alipokufichia siri zako anakuwa anaitwa adamu au?
mkeo anapokulelea wanao na kutunza nyumba yako nae ni adamu enh?
mkeo anapositiri unapokaribia kuadhirika nae ni adamu tayari?
 
Adam ni mwanadamu na Hawa akimaanisha

Hawaeleweki
Hawabebeki
Hawajiheshimu
Hawanahuruma
Hawashukuru
Hawapendeki
Hawaridhiki
Hawajatulia

Ukitaka kuwaelewa Oa alafu mchukue mama yako uishi naye, utashangaa ukirudi jioni mama yako atakupokea mzigo wakiti akiwa amekaa na mkeo au mnunulie mkeo kipande cha kanga akawii kukuambia mimi wa kanga wengine unawanunulia madira au ukimzowesha mkeo kumwachia mwekundu siku zote, siku ukimwachia buku mbili akawii kulala na jinsi usiku.

Hapo kwenye nyekundu umenifurahisha. Hata hivyo mwanamke ni kama compyuta isiyo au yenye program usiyoipenda, inategemea wewe unahitaji program gani ndio una-install. Kama hayo uliyosema umeyaona kwa mkeo basi tatizo huku-uninstall program uliyoikuta kwanza umeiacha ndio inakupa shida.

huyo huyo unayesema Hawabebeki, ..................
ndio waliokubeba tumboni miez 9
akakunyonyesha miaka 3 ukiwa na kg 10+
ndio dada zako walikugesha hadi mika 6
ndo wake zako wanaokbeba kifuani ukiwa na kg 80+ kila siku hadi siku kifo kimkute
ndie anayekuzalia wanao
ndie unaye mnyonya matiti katk umri ukiwa na meno 32 wala aibu huoni.
 
Ha ha ha ha haaaaaaaaa.......................umenifurahisha leo siku ya mabomu.
 
huyo huyo unayesema Hawabebeki, ..................
ndio waliokubeba tumboni miez 9
akakunyonyesha miaka 3 ukiwa na kg 10+
ndio dada zako walikugesha hadi mika 6
ndo wake zako wanaokbeba kifuani ukiwa na kg 80+ kila siku hadi siku kifo kimkute
ndie anayekuzalia wanao
ndie unaye mnyonya matiti katk umri ukiwa na meno 32 wala aibu huoni.

Ongeza na hii,
Ndiye anayekufanya Upate jeuri ya Kuwa Smart ofisini kila siku.
Unafikiri nyumba ndogo anayaweza hayo?
Thubutu,yapaswa mtuheshimu.
Ni nani anaejua kwamba unaenda kazini kila siku bila kuvaa boxer kama si mimi mkeo?
Nani anaejua kwamba Ukipiga kimoja tu hoi kama si mimi mkeo?
Nani anaejua kwamba unatembea na Housegirl wetu kama si mimi mkeo?
Nani asiejua kwamba hapa mjini huna kazi lakini ukitoka nyumbani asubuhi umependeza kama si mimi mkeo?
Tuheshimuni sana wake zenu kwani tunayokutana nayo majumbani ni siri yetu.
Eboooh!!!
 
Back
Top Bottom