Pengo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 579
- 10
Mifedha ya tff yamfikisha mwakalebela kwa pilato.baada ya kuiba sana pale tule fedha fasta(tff),kujenga ghorofa mbezi ndani ya miaka 2 na kuwa na tumbo kubwa kama nduli yote hayakumtosha mwaka na kuamua kuwekeza katika ubunge kwa njia ya kugawa mahela.pole sana mwaka wahenga walisema wambili havai moja,mwenzio rage atakuwa waziri wa michezo na wewe pesa zinaondoka kama hazina akili nzuri!wizi si mzuri