Mumewe hapendi..mie naanzaje?

Sio jambo zuri kwako na kwamwenzio ndio kabisa huyo mwanamke na yeye kama ameshindwa kumshawishi mumewe asikutoe wewe chambo,na mkeo nae pia mdaku imehusu nini aseme kama anaangalia hayo mashaka.
 
Sio jambo zuri kwako na kwamwenzio ndio kabisa huyo mwanamke na yeye kama ameshindwa kumshawishi mumewe asikutoe wewe chambo,na mkeo nae pia mdaku imehusu nini aseme kama anaangalia hayo mashaka.

maana waliongea wanawake na yeye kajumuishwa au mwalionaje hilo
 
Kwani huyo shemeji yako anasemaje kuhusu mziki wa huyo jirani yako??? Kama hakuna tatizo anachohangaikia ni nini? "If it aint broke... don't fix it!!!!.."
 
Hivi umemaliza na kuiweka ndoa yako sawa hadi uingilie ndoa za watu??

siajabu huyo unaemuita mkeo (which i doubt maana wanandoa huwa wanatunziana heshima kuliko ulivyoiweka hapa) anasagana full time na huyo jirani

pole
 
Huyo mwanamke asikusumbue bure, mbona mpuuzi hivyo, anataka akutangazie mtaani kwamba wewe ni shabiki sana wa porn, kutazama porn na mkeo si vibaya, kila mtu na life yake, huyo bibie akanunue hizo cd na pesa yake akamwonyeshe mumewe watoto wakishalala, halafu watajuana wenyewe kama waendelee kuzinunua ama la, but naamini ni dhambi kwa Mungu, kusupport porn industry, kuwa aware na hilo.
 
ahaaa toa ushauri kwa mambo ya maendeleo na ugomvi lakini si ktk swala la kitandani ya chumbani achana nayo utajishushia heshima yako na isitoshe atakushuku ww mwizi kwa mkewe ohooooooo
 
kwa nini mke wako anaangalia porn na mke wa jirani yako?mi nilidhani unaangalia naye wewe tuu???
 
Kwani huyo shemeji yako anasemaje kuhusu mziki wa huyo jirani yako??? Kama hakuna tatizo anachohangaikia ni nini? "If it aint broke... don't fix it!!!!.."
Kwwenye bluu..mkuu sijaongea na shemeji..mke wangu ndio kanidadavulia kwamba shogaake anapenda kutizama so, kama vipi nijaribu kucheki na mumewe ili naye apende 'movie' kama mimi navozipenda..
 
kwa nini mke wako anaangalia porn na mke wa jirani yako?mi nilidhani unaangalia naye wewe tuu???
... yeye ndo kaniambia..na sijataka kujua undani wa kwa nini!! as long as wao ni friends..
 
Hivi umemaliza na kuiweka ndoa yako sawa hadi uingilie ndoa za watu??

siajabu huyo unaemuita mkeo (which i doubt maana wanandoa huwa wanatunziana heshima kuliko ulivyoiweka hapa) anasagana full time na huyo jirani

pole
Kwa Jinsi nivyojieleza sidhani kabisa kama nimetoa siri za Ndoa yangu nje..the thing is..porno movie sio ..big deal kiasi hicho!!!..na ndo maana zipo na i believe most of the people tunaangalia..na isitoshe na mimi nilijifunza kwa wengine..Pengine ungenitajia Madhara ya kutizama hizi pilau..
Na kuhusu kuwa wife atakuwa msagaji naona ume'jump' the gun too fast!!...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom