Mumewe hapendi..mie naanzaje?

Hapa unatakaka ushauri gani na wakati majibu unayo mwenyewe chukulia mfano jirani yako anakufata alafu anakwambia mkeo anapenda kweli picha za x uwe unaangalia nae siku mojamoja we utajisikiaje
..Mkuu kama Jibu la hili swali lingekuwa Simple like that nisingelileta humu mkubwa...Yaani kinachoonekana hapa ni kama vile nimshawishi Jirani Umuhimu wa Kuangalia Porno bila kuonyesha kwamba lnampigia debe mkewe!!..yaan anachotaka shemeji ni 'Jinsi' ya Kumshawishi mtuwake..of which sidhani inaweza kuwa kitoto kiasi hicho ulichosema mkuu...
 
wako tayari muda wote
us.jpg
Sijakusoma mkuu..ungefunguka zaidi!!!
 
Hapo kwenye Red mkuu sijakusoma vizuri..yaani ni upuuzi hata mimi kuangalia au ni upuuzi kwenda kumshauri jirani yangu nae aangalie???

wewe kumfungia safari jirani yako na ndo maana nikauliza kwanza hayo maswali
 
Achana na kuingilia mambo ya ndani ya familia nyingine. Kama hapendi kuangalia wewe hayakuhusu.
 
Salaale mambo mkubwa hya jamani sikuhizi hakuna tena aibu hata mambo ya fedheha tunaweza kushea na jirani zetu ilikuwaje mkeo akamkaribisha jirani kutizama mkanda wa ngono na kumueleza kuwa huwa mnatizama pamoja huni nia aibu kubwa hiyo. je waijua sheri ya nchi kuhusu hilo lakumkribisha mke wa jirani yako kutizama ngono kwako? dou kweli tumekosa madili. mungu awasamehe wewe na mkeo
 
Usiingilie ndoa ya watu. Iheshimu na yako itaheshimiwa.
Jitahidi na wewe uache kuziangalia kwani haimpendezi MWENYEZI na ni kinyume na mila za kitanzana.
 
Kwa nini uangalie picha wakati wife yupo na unaweza wakati wowote ukapata kitu live. Hii ni sawa na kula ugali kwa picha ya samaki wakati samaki wapo ndani ni suala la kupika na kula tu.
 
Kwa nini uangalie picha wakati wife yupo na unaweza wakati wowote ukapata kitu live. Hii ni sawa na kula ugali kwa picha ya samaki wakati samaki wapo ndani ni suala la kupika na kula tu.

akyamungu watu mmafikiriaga! We ugali na picha ya samaki unalikaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom