Mumemuona shemeji yenu jamani huyooooo

Mkuu kwa misingi ya kidini hiyo sio kharam kweli?
Ndio haramu sasa wewe unasemaje? hapa hatupo kwenye Thread ya Mambo Dini na Imani. tupo kwenye thread ya Jamii Forums Photo usilete mambo ya dini hapa Please.........................................
 
Ndio haramu sasa wewe unasemaje? hapa hatupo kwenye Thread ya Mambo Dini na Imani. tupo kwenye thread ya Jamii Forums Photo usilete mambo ya dini hapa Please.........................................

oops sorry maana mkuu mie nikiona kitovu napata tabu kweli, yani ntajua umeteleza tu mkuu

kumbe nawe hayo mambo mswano... basi niwie radhi dokta, muungwana ni vitendo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom