Mume *****....

Mbona kawaida tu? Hii dunia ya kisasa bana! Tatizo wabongo utasikia mara kapigwa shuntama, mara kapigwa silangambe oooh mara kapigwa kamshoize! Kumbe hamna nini wala nini, bali ni kusaidiana tu!
 
Huyu mpiga box ulaya kaolewa tazama mtoto shombe shombe jamaa katoka kibaruani hata tai hajavua kakuta mama wakizungu kakaa anakunywa wisiki kaambiwa vyombo hivyo na mtoto analia kama hutaki ondoka kwangu leo!lol!
 
Hii itakuwa kwenye movie gani? Najua wapo wengi wanaofanya hivi lakini sio rahisi kuruhusu picha!!!!!
 
What's wrong with this? mi sioni ubaya.
Tena naona mazingira yao ya ulaya haya
Yoooote mi naona ni sawa tu ila kuna kimoja:
Nisimkute kakalia mbuzi anakuna nazi. :nono:

Hebu fafanua bana kwani kuna nini ukimkuta kakalia mbuzi anakuna nazi..... wengine sie wa-bara kiswahili nahau zake haba
 
View attachment 53061

Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Hapa Tanzania sidhani kuna mume sampuli hii kwani ataogopa sana kuchekwa na wenzake. Ukimpata mtanzania wa aina hii atakuwa anaishi ng'ambo ambako wanaume wanafanya hivi majumbani mwao na ni jambo la kawaida sana.
 
Haki sawa ndo ipo njiani kuja na ndo sasa hongera mkaka kama yupo wahivi kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom