Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

Ila babu hakuna kitu kinakera kwenye mapenzi kama kuleeteana pozi zisizo na msingi. Nyumbani umesuswa, na kununiwa juu. Ukitoka tu kuna mijamaa inakupigia simu na kukubembeleza ngoja nikupeleke lunch mtoto mzuri. Unajikausha. Inaudhi zaidi mtu anakupigia naomba twende lunch. Ukigoma anauliza ama mr anakufuata? Unajichekelesha tu maskink!
Kha!
Kwa ufupi Komando wangu King'asti, huyo mwanamume ni mpumbavu.......

Kama hamtaki dada wa watu, kwa nini asivunje ndoa kila mtu akaanza maisha yake?? Ila pia kitendo cha kusikiliza ushauri wa dada zake na akaufanyia kazi kwa namna ya kipuuzi kama hiyo, kunamfanya naye awe kama dada vile (sorry, kama kuna watu nimewakwaza)!

Kwa huyo dada (Lonely heart), namshauri ajipange upya na kuanza maisha mapya. He simply lost a husband a long time ago!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Saa zingine una akili wewe. Sema tu ukitafunaga tambuu ndo unafyatuka! Dawa ya mwenza anaekurusha roho unampaisha! Jumatano tu anakuona unatoka na bra na panty ya animal print na edge ya pink, cleavage hiyooo! Unamuaga na tabasamu. Nyambaff!
Ngoja mimi nitoe ushauri wangu wa kimjini mujini shostiii! Kususiwa kupo bi dada, hata sie wa walk of shame tunasusiwaga atii! Huitwi kwenye shughuli! Dawa hapo ni nyepesi sana! Wewe jiboreshe kila idara, suka nywele poa, jipodoe, nunua sexy lingerie zako pale Cassandra. Kuwa ukizifua unahakikisha anaziona unapoanika. Pendeza full time, anza na mitoko isiyo natija!!! Utaona kengele ya danger inamcheza! Wivu utaibuka upyaaaa! Na dozi itaongezwa! Smtms wanaume wana hulka ya kumpenda mtu anaependwa na wengi. Sasa unavombembeleza ankiona kimechinaa! Ukiacha ghafla ukuawaka, ukawa happy, atakula jeuri yake!!!
 
Hahahaaaaa! Mbinu zingine za KIJESHI!!! Akitolewa mkuku uchiuchi KORIDONI si ataonekana MWANGA? Mawifi wataprove ni Mwanga tuuu! Hiyo mbinu haifa nyuma za uswazi!!!

anatakiwa avae khanga moja koridoni
akifika huko ndo anaitupa pembeni..huku mlango keshafunga lol
 
anatakiwa avae khanga moja koridoni
akifika huko ndo anaitupa pembeni..huku mlango keshafunga lol


Sidhani kama hii ni lazima...

Mkuu The Boss, kumbuka kisicho riziki hakiliki!!

Kama mwanamume keshaamua, huyo dada atakuwa anajichora tu kwani atampa mambo ya kuwasimulia wifi zake...Kwa sababu huyo mwanamume naye yuko kama dada zake! Why give him more weapons?

Ajipange tu kukabiliana na maisha yake biafsi bila ushirikiano na huyo dada wa kiume!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ila babu hakuna kitu kinakera kwenye mapenzi kama kuleeteana pozi zisizo na msingi. Nyumbani umesuswa, na kununiwa juu. Ukitoka tu kuna mijamaa inakupigia simu na kukubembeleza ngoja nikupeleke lunch mtoto mzuri. Unajikausha. Inaudhi zaidi mtu anakupigia naomba twende lunch. Ukigoma anauliza ama mr anakufuata? Unajichekelesha tu maskink!
Kha!


Tunajua sana mnatongozwa kila pembe nyie wenzetu...

Na ndiyo maana kuna wanaume wanatamani kuwaachisha kazi wake zao. Hii ni kwa sababu hakuna mwanamume anaweza kuhimiri hisia za mke wake kugawa hazina yake huko nje...Hisia tu huwa zinauma sana kiasi kwamba hazivumiliki.

Nahisi kama hili lofa huenda lisijali kwa sababu inawezekana lina nature kama ya dada zake (a female ina male's body)!

Dada wa watu ajiweke pembeni, asonge mbele bila kujali kama hilo dude lipo kwenye dunia yake au la...

Kama kuna kitu ambacho siwezi kuruhusu, ni Bibi DC kuingiliwa na mtu yeyote wa nje ya mama yangu!

Kitendo alichofanya huyo mwanamume kinamwondolea sifa ya kubaki kwenye club yetu...

Amenikera sana kwa kweli!

Babu DC!!
 
are u sure umemvuliz nguo ukiwa umeshalowana na ukamuonyesha K? kama amekataa K basi huyo anakula ya dada zake

Hahahahahaha kama me nshamuonesha and then bado analeta nyodo wallah nambaka lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Hahahahahaha kama me nshamuonesha and then bado analeta nyodo wallah nambaka lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

kha!!! wee kweli noma ukambake mwanaume mzima jamani!?? wee na kwambia ujue ujajipanga lakini ukishamuonyesha ile kuti alafu inamelelemeta na dripping lazima mwanaakurukie tuu hamna jinsi hahahaha
 
ghafla-Usimuoneshe kama una shida na hicho chakula cha usiku halafu muonyeshe unamjali kwenye mambo mengine ya kifamilia,ukiweza usiingie kwenye mabishano yoyote yanayohusu dada zake..lazima atajifanya anakurudia ili kutafiti kama unam-cheat,akishtuka mmesharudiana kama zamani
 
Shujaa ni yule anaejitowa muhanga nawe jitolee muhanga! Aidha mfate mumeo juu ya dada zake au shika njia.

Angalia kipi kitakuwa na maslahi yako na unaowapenda, kama mummeo na watoto iwapo mnao.
 
hebu mvamie uchi usiku huko anapolala uone...

mi nil;ijua tu mpaka nitakaporudi kwenye huu uzi tayari utakuwa ushatoa maamuzi magumu!ahahahahhahah na kweli chezeya mke akiwa nyuchi nje nje wewe!ila mimi walahi na kuyapenda kote mapenzi hivi nisingefika tht far,miezi 8 kha!si kutakuwa na kutu sasa?
ila huyu mwanaume mzima na kengele zake chini anawezaje kufanya maamuzi ya kijinga kiasi hiki?dada zzake ndo aliwaowa?dada zake ndo analala nao?dada zake ndo wanampa kipochi manyoya au tusemeje? Lonely heart hebu kuwa mbinafsi kidogo!wakati mwingine we are too much sacrificing kufanya hizi ndoa zisimame while in the real sence they dont evenworth it
 
Last edited by a moderator:
Wanaume bana! Sometimes ni kero tupu

aaah..mi tulishakubaliana..hata uwe ugomvi wa kufa mtu...chakula cha usiku hakitakuja kukatishwa...na hata tukigombana....lazima kitendo kiwepo...miezi nane???uongo na wizi pia!!
 
Yaani no one leave .leave his ass and call his sisters to move in with him .be strong and move out no matter what your somebody's child you have a right to choose whom you associate in life . Honey men are everywhere sweetheart .probably im married to a white men but no men will treat me like that honey .In my house I'm A BOSS LADY .my hubby anani worship dada zake wenyewe wanakoma na Mimi .im somebody's child and I'm worth living happy .park and leave immediately .No room for emotional abuse ,kiss his ass and tell him to go and **** him self he is a scam bag and chuchu train .His ass need to be kicked out sweety
 
Ila babu hakuna kitu kinakera kwenye mapenzi kama kuleeteana pozi zisizo na msingi. Nyumbani umesuswa, na kununiwa juu. Ukitoka tu kuna mijamaa inakupigia simu na kukubembeleza ngoja nikupeleke lunch mtoto mzuri. Unajikausha. Inaudhi zaidi mtu anakupigia naomba twende lunch. Ukigoma anauliza ama mr anakufuata? Unajichekelesha tu maskink!
Kha!
His ass need to be kicked out and hire a bouncer men and when he comes from work introduce him to your new men .and call police if your in USA call 911 and accuse him of invading your privacy and abuse you .Yaani duh yangenikuta hayo Mbona Angekoma.angehadisia dunia mzimaa.Chezea Natalia
 
Duuuuu umetisha yaani mume wako ana ku worship and your happy of that Natalia, your husband should respect you not worship!


Natalia;4768202]Yaani no one leave .leave his ass and call his sisters to move in with him .be strong and move out no matter what your somebody's child you have a right to choose whom you associate in life . Honey men are everywhere sweetheart .probably im married to a white men but no men will treat me like that honey .In my house I'm A BOSS LADY .my hubby anani worship dada zake wenyewe wanakoma na Mimi .im somebody's child and I'm worth living happy .park and leave immediately .No room for emotional abuse ,kiss his ass and tell him to go and **** him self he is a scam bag and chuchu train .His ass need to be kicked out sweety[/QUOTE]
 
Anadai sababu kuu ni mimi kutowatii dada zake hivyo ameamua kuhama chumba ili na kukata huduma ya chakula cha usiku kwa miez 8 sasa kunikomoa...

Ni kweli kabisa kuwa mimi na dada zake tumeshindwa kuelewana kabisa kutokana na wao kutaka kunipangia masharti nyumbani kwangu jambo nililolipinga kwa nguvu zote.

...Mume wangu yeye sijui anawaogopa au anawaheshimu hvy kila kitu wanampangia.

Nisaidieni nifanyaje mana uzalendo unakaribia kunishinda na kucheat siwezi kabisa na wala sitakaa niweze...

Nimejaribu kumbembeleza kwa kila khali lakini kasusa, WHAT CAN I DO MY DEAR FRIENDS? Maana upweke umenichosha
Be a boss lady .higher a wrecker,tow his car and hire a bouncer .put him in jail for abuse,that is a crime.
 
Duuuuu umetisha yaani mume wako ana ku worship and your happy of that Natalia, your husband should respect you not worship!


Natalia;4768202]Yaani no one leave .leave his ass and call his sisters to move in with him .be strong and move out no matter what your somebody's child you have a right toV choose whom you associate in life . Honey men are everywhere sweetheart .probably im married to a white men but no men will treat me like that honey .In my house I'm A BOSS LADY .my hubby anani worship dada zake wenyewe wanakoma na Mimi .im somebody's child and I'm worth living happy .park and leave immediately .No room for emotional abuse ,kiss his ass and tell him to go and **** him self he is a scam bag and chuchu train .His ass need to be kicked out sweety
[/QUOTE]both Wewe im a boss lady humu ndani ,I'm a drama queen for choice ,.
 
Pole sana mdada huyu jamaa wako hajui thamani yako kabisa ndio maana ana fanya hivyo!

Hebu jaribu kuongea na wazazi wake kwanza kabla ya kufanya huamuzi wowote!
***U*************************
yan dunia hii ina watu watofauti sana, kuna jamaa alikuja kujisifu hapa anamnyima unyumba mkewe nilimshangaa sana.

Sasa na huyu nae sijui anataka mkewe afanyeje? Ninacho jiuliza yeye unyumba ana pata wapi kama asaliti ndoa? Ni bora kumuacha tu for good mtoto wa watu kuliko kumtesa kiasi hiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom