mume wangu jamani

Pole kwa yote,kwanza ushauri wangu huu:wanaume hufuata vionjo tofauti nje ya ndoa,yaelekea ulimboa ndo maana alianza kutoka,hivyo anza kwa kujirekebisha,jiweke fresh yaani uvutie;vitu vidogovidogo kama kuvaa poa(chupi za kuvutia,nguo za kuvutia n.k),pia kuoga fresh,nyoa chini,kwa ujumla kuwa kama vile madada poa wanavyojiweka ili umvutie.unajua msemo usemwao kiume kwamba treat your wife like a bitch!!!yaani unatakiwa mmeo akuone kama bitch kila wakati ili umvutie.Pia mnapokuwa bed,anza kwa kumtamanisha penzi usimsubiri yeye asimamishe dudu ndo akupande bali mfanyie mambo,mi kwa mfano napenda mwanamke ambaye ikiwezekana atanifanya nikojoe kabla hata sijamfanya vile vile na nyie wanawake,sisi wanaume twafurahi tukiona chupi ya mwanamke inaloa kabla hatujaanza mambo hii inavutia sana,pia kubadili style na mambo kama hayo,kila siku mme akuone mpya hatatoka kamwe,lakini kama atakuwa anakuja anakuta unanuka maziwa au hujaoga au chupi ya jana unayo mpaka leo au chini panatema unategemea nini?wewe mwenyewe ulipokuwa unatoka kukutana na jamaa wa nje nategemea ulikuwa unaenda ki vingine ili kuwavuta jamaa,basi mfanyie mmeo hivyo hivyo,ndo maana wanaume wanasema k*** ya nje tamu

Ahsante sana haya mambo nimefanya sana ndugu yangu, si unajua binadamu akiamua jambo lake haijalishi unamfanyia nini. ushauri mzuri taufanyia kazi aiseee
 
Ingieni kwenye website ya SCOAN Nigeria T.B.JOSHUA, then jazeni form zao nendeni na mumeo; gharama yenu ni return ticket mbili za ndege mkifika kule kila kitu mnahudumiwa kwa gharama ya kanisa. mkapate uponyaji wa bwana yesu kupitia mtumishi wa mungu. poleni sana ni maisha ndio yalivyo GAGA
 
Ingieni kwenye website ya SCOAN Nigeria T.B.JOSHUA, then jazeni form zao nendeni na mumeo; gharama yenu ni return ticket mbili za ndege mkifika kule kila kitu mnahudumiwa kwa gharama ya kanisa. mkapate uponyaji wa bwana yesu kupitia mtumishi wa mungu. poleni sana ni maisha ndio yalivyo GAGA

Naangaliaga vipindi vyake huwa napenda sana nashukuru yamekwisha howard
 
eti dada kwanini msingeshauriana muende mkapate kikombe kwa babu?
 
Pole dada pia thread yako ni mojawapo iliyonifanya nijiunge huwa nakuzimia sana gaga. nina imani mume ameshaachana na yule mwanamke wa nje na wewe pia ubadilike ili ndoa yenu iwe ya amani. nina dada yangu ana tatizo kama lako nae ameshazoea anaishi tu maisha yake ila kasema kwa mumewe haondoki
 
Back
Top Bottom