Mume wake anapenda kuangalia picha za ngono

ukiona hivyo hamu yake na wewe imepungua yaani kakuzoea sana hivo anatafuta kitu kimpandishe mzuka akija kwako anafakamia tena anaweza hata akawazia yale aloyaona mpaka anamaliza mchezo. mwambie unajua ili aache mapema ilo ni tatizo ndugu yangu unalilea

Kuna movie moja inaitwa Love Sex and eating the bones, inashabiana na maelezo uloyatoa hapo, namshauri Yeniba ajaribu kuitafuta na kuiangalia, Labda jamaa yake anaweza kuwa na tatizo la aina hiyo.
 
kweli ndoa ni mtihani mgumu.....ni vizuri wao wazungumze kwanza,hatuwezi kukushauri bila kwanza kujua kwanini mume anaangalia porno kiasi hicho.....manake kuangalia porno si kilema ila anapokuwa addicted,kuna maswali kama mke yapaswa uwe na majibu yake ili kama unaweza kumsaidia then umsaidie....nashauri azungumze tu kwa upole na mumewe then from there twaweza shauri.....!!
 
Wonderfull!!
 
Kuna movie moja inaitwa Love Sex and eating the bones, inashabiana na maelezo uloyatoa hapo, namshauri Yeniba ajaribu kuitafuta na kuiangalia, Labda jamaa yake anaweza kuwa na tatizo la aina hiyo.
Nishaiona mwana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom