Mume wa mtu kaning'ang'ania......

..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao niwakristo kanisa halina talaka na mimi ni muslim na anadai yupo tayar yeye kubadili dini mana haoni raha ya ndoa yake na mkewe,na mtoto wake wa kwanza ni best yangu kupita kiasi na mkewe ni kama dada yangu namheshmu sana..huyu mwanaume ananisumbua mpaka imefka kpnd nataka nimwambie mkewe lakni sijui nianzie wapi na mtoto wake kumwambia kama baba yake ananikera naogopa kupita kias yani hata kwao kwenda siendi tena nmebadili laini ya simu mara tatu lakn kila nikibadili ananambia labda nife ndo atashndwa kunifatilia...na akinipgia anataka kuniona ofisini kwake nsipoenda siku hiyohyo lazma aje mpaka getin kwetu kuniulizia kwetu nimekwenda wapi mana nimkubwa kazni kwao anauwezo wa kutoka muda wowote....plz nsaidieni nimwanzaje mkewe kumueleza mana sms zake zote ninazo anazonitumia na mimi simpendi hata kumuona yani ananinyima amani..,,

Mie sijakuelewa vizuri ebu nijibu maswali yangu,
1. unamuona kama anakusumbua kwa kuwa ana mke na watoto?
2.au Unamuona anakusumbua kwa kuwa kakupenda?
3.au Unamuona anakusumbua kwa kuwa tayari unamchumba?
4.au Unamuona anakusumbua kwa kuwa humpendi tu?
5.Aliposema anataka kusilimu ulimuuliza anasilimu kwa sababu yako au anasilimu kwa kukubali kuwa "Anashahidilia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah, anashahidilia kuwa Muhammad ni mtume wake"?

Tanbihi: kama utaamua kuolewa naye na msimamo wake ukawa ni kusilimu kwa sababu ya matamanio yake basi huyo hakufai jiepushe nae kwani atakutia mitihani. Akisha zaa na wewe atakuwa kisha timiza malengo yake ya kukuzini na atakuacha kama anavyomuacha huyo mwingine.
 
Usikate tamaa, mpaka hapa umeshapata ushauri wa kutosha sasa changanya na zako!
 
..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao niwakristo kanisa halina talaka na mimi ni muslim na anadai yupo tayar yeye kubadili dini mana haoni raha ya ndoa yake na mkewe,na mtoto wake wa kwanza ni best yangu kupita kiasi na mkewe ni kama dada yangu namheshmu sana..huyu mwanaume ananisumbua mpaka imefka kpnd nataka nimwambie mkewe lakni sijui nianzie wapi na mtoto wake kumwambia kama baba yake ananikera naogopa kupita kias yani hata kwao kwenda siendi tena nmebadili laini ya simu mara tatu lakn kila nikibadili ananambia labda nife ndo atashndwa kunifatilia...na akinipgia anataka kuniona ofisini kwake nsipoenda siku hiyohyo lazma aje mpaka getin kwetu kuniulizia kwetu nimekwenda wapi mana nimkubwa kazni kwao anauwezo wa kutoka muda wowote....plz nsaidieni nimwanzaje mkewe kumueleza mana sms zake zote ninazo anazonitumia na mimi simpendi hata kumuona yani ananinyima amani..,,

Kwani sikuna sumu za kuangamiza kupe kwa maphamasist! Unangoja nini kununua na kupulizia? Au ndo kusema hadi akusababishie homa?
 
kuna mambo huku hii kali njoo nikupe wa kwangu hata hatokung'ang'ania na wala hatotaka mtoto
halafu inawezekana mtoto wake na mke wake wapo humu tena na wao wamechangia loo
 
Hivi wewe Happiness win unawajua wanaume au unawasikia yaani kawaida ya mwanaume kuwaka tamaa kwa mwanamke yeyote anayekutana naye hata rafiki wa dada yake, rafiki wa mama yake, rafiki wa mkewe na wengine wasio ndugu ni jambo la kawaida. Tena wakati mwingine anaweza kuja rafiki wa mke wake nyumbani kuwatembelea na baada ya kuaga ameondoka, mwanaume anaweza kujifanya anaenda kukutana na rafiki yake kumbe anaenda kumfuatilia rafiki wa mkewe na kumtaka kimapenzi. Tunachotofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine ni kiwango cha kudhibiti tamaa. Mwingine tamaa ikiwaka tu anataka kuitimiza kama ilivyokuja mwingine anasema hapa huyu ni fulani namheshimu na kukataa kuburuzwa na matamanio, tofauti iko hapo basi.
Kwa hiyo, anachosema Sikati Tamaa ni kweli wanaume wako hivyo na wengine mnaweza kukutana siku hiyohiyo mpaka akamtokea mwanamke na kumtongoza na siku hiyohiyo wakafanya uzinzi sembuse yule ambaye wanafahamiana, hapo ni rahisi zaidi. Anaanza oooh rafiki yako hivi, ooo rafiki yako vile, mpaka anaingiza mambo yake anayotaka.
Sikati Tamaa wakuache bwana wasioamini uliyosema achana nao, wewe pambana na huyo kisonoko hakikisha hakunyimi raha wala amani yako, BE A WOMAN WHO KNOWS WHAT SHE WANTS

Tatizo hujaelewa. Soma vizuri
 
..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao niwakristo kanisa halina talaka na mimi ni muslim na anadai yupo tayar yeye kubadili dini mana haoni raha ya ndoa yake na mkewe,na mtoto wake wa kwanza ni best yangu kupita kiasi na mkewe ni kama dada yangu namheshmu sana..huyu mwanaume ananisumbua mpaka imefka kpnd nataka nimwambie mkewe lakni sijui nianzie wapi na mtoto wake kumwambia kama baba yake ananikera naogopa kupita kias yani hata kwao kwenda siendi tena nmebadili laini ya simu mara tatu lakn kila nikibadili ananambia labda nife ndo atashndwa kunifatilia...na akinipgia anataka kuniona ofisini kwake nsipoenda siku hiyohyo lazma aje mpaka getin kwetu kuniulizia kwetu nimekwenda wapi mana nimkubwa kazni kwao anauwezo wa kutoka muda wowote....plz nsaidieni nimwanzaje mkewe kumueleza mana sms zake zote ninazo anazonitumia na mimi simpendi hata kumuona yani ananinyima amani..,,

sasa na wewe kisa cha kutembea na mume wa mtu hadi kutangaza ni nini kama sio upuuzi?
 
Back
Top Bottom