Mume wa mtu kaning'ang'ania......

Najiheshmu sana ndo mana nataman kumweleza mkewe usumbufu wa mumewe,.sina ndoto za kua na mume wa mtu ktk maisha yangu

Hivi inawezekana mwanamume ambaye toka mwanzo umemuonyesha msimamo wako kuwa hutaki kuwa mpenzi wako akaendelea kukufata fata kila mahali hata nyumbani na ofisini kwako? Inawezekanaje akatamani hadi kutoa talaka lakini dini ikamzuia wakati huna mahusiano naye? Hadi umebadili laini ya simu mara tatu yeye bado akung'anganie tu bila kujali msimamo wako na bila ya kuwa na hofu ya wewe kumwambia mkewe na wanawe????? Mlifikiaje maongezi yake ya ndani na mkewe kuwa mkewe hataki kuzaa ila anataka wewe umzalie? hapo kuna kauhusiano kalikojificha. ACHA!
 
Mpaka akwambie umzalie mtoto inawezekana mmeshaonjana tayari kanogewa na anataka umzalie mtoto.Kwa ninavyojua mwanaume hawezi kukutaka siku ya kwanza na kuanza na neno la umzalie mtoto kabla hajakuonja.

hajawahi kunigusa kimwili..
 
Hivi inawezekana mwanamume ambaye toka mwanzo umemuonyesha msimamo wako kuwa hutaki kuwa mpenzi wako akaendelea kukufata fata kila mahali hata nyumbani na ofisini kwako? Inawezekanaje akatamani hadi kutoa talaka lakini dini ikamzuia wakati huna mahusiano naye? Hadi umebadili laini ya simu mara tatu yeye bado akung'anganie tu bila kujali msimamo wako na bila ya kuwa na hofu ya wewe kumwambia mkewe na wanawe????? Mlifikiaje maongezi yake ya ndani na mkewe kuwa mkewe hataki kuzaa ila anataka wewe umzalie? hapo kuna kauhusiano kalikojificha. ACHA!

Ananitumia sms na kunambia kila kitu kuhusu matatizo yake na mkewe ndo mana sms nazo sijazifuta
 
Tena kwa wasichana wa siku hizi akipata mtu mwenye fedha zake wala hajiulizi mara mbili kwa mazingira aliyojieleza ni wazi anatughiribu tuegemee upande wake. Binti jiheshimu tafuta kijana mwenzio. Hebu vaa viatu vya huyo binti yake ambaye unadai ni best yako; fanya hayo anayafanya baba yako mzazi kwa rafiki yako we utajisikiaje? hebu mwaga maneno hapo.
 
Sisi tunaojua kidogo kuchambua mazungumzo...lugha tu alotumia huyo jamaa ilistahili umtwange kibao. How on earth mtu anaweza kukwambia umzalie mtoto? Wewe ni mashine ya kutotoa? Hata mume wangu sijamzalia mtoto...tumezaa watoto.

Unajua ana maana gani?...ukishazaa mtoto akafika miaka miwili atakunyang'anya 'mtoto wake'. Si ulimzalia yeye?

Pili huyo jamaa inaelekea ni wa umri wa kukuzaa maana kama unavyosema mtoto wake ni rafiki yako...mdogo wangu pesa si kila kitu. Ukishakuwa naye akakununulia gari na kukujengea nyumba utaanza kutamani serengeti au wa umri wako; hilo ni given, kubali kataa. Vitu vina thamani kama huna...ukiwa nazo, hata pesa ni karatasi tu.

Kingine wanaume wengi wanaosema wametengana vyumba na wake zao ni wa kuogopa kama ukoma. Hao wanaendelea kun do kama kawa. Ndoa haivunjwi kwa watu kutengana vyumba. Anaongelea dini ndyo inamzuia ku divorce, dini gani wakati yuko tayari kubadili dini. Kubadili dini ni kitu kikubwa sana kuliko mkatoliki ku divorce. Huyo ni muhongo, Period.
 
Ananitumia sms na kunambia kila kitu kuhusu matatizo yake na mkewe ndo mana sms nazo sijazifuta

Cycle of Love:
when u love, you get
HURT.
when u get hurt, u
HATE.
wen u hate, u try to
FORGET.
wen u try to forget, u
start MISSING.
wen u start missing, u eventually fall in LOVE again.

♥ ♥ ♥ ♥ ♥ ♥[/color]
angalia na wewe usijijkute kwenye mduara huo.
 
Wewe ulianzaje anzaje kuwa na u close na hilo lizee?

Mi najua ni ngumu sana kwa wazee kuwa ving'ang'anizi; na ni rahisi sana kuwakatisha tamaa; kwa sababu they have reputation to protect.


Ananitumia sms na kunambia kila kitu kuhusu matatizo yake na mkewe ndo mana sms nazo sijazifuta
 
Wewe huna boyfriend? Maana isije ikawa u mpweke...na yeye amekufanyia timing. Ungekuwa na boyfriend asingekuwa na chance ya kukusarandia...ungeuza tu kesi kwa boyfriend wako uone kama atarudia.
 
msimlaumu huyu dada,na huyo mwanamume jee,ambae anajua anaelewana na mke wake pamoja na mtoto wake.inaonyesha ni mtu mzima kabisa,ila amekosa heshima.bi dada mrekodi,likija kubumbuluka,wewe ndio utaonekana mbaya
 
I trust her words,nan kasema mwanaume akikung'ang'ania ameshakulamba?kuna wanaume hata mie nakiri ni ving'ang'aniz wa kutosho,Binti kilicho muhimu kwako kama humtak,first mwambie utamwambia mke wake,kama hakuelew jaribu kuangalia mtu mzima mweleze akusaidie kumfikishia ujumbe kuwa hupendezwi na vitendo vyake na I guess waweza mshtaki ustawi wa Jamii as he is doing social harassment to you. Be serious unapomkataa na sio uwe unacheka cheka like stak nataka!
 
huwa hakuna kitu kinaumiza kama kutumika,huna amani na huyo mwanaume hakuheshimu wala haheshimu hisia zako,wala za familia yako na hajali heshima yako!kama kweli ndani ya nafsi yako unajua hukuwa kuwa na mahusiano na huyo mwanaume face his wife amabye kwako ni kama mama,unaweza kuzungumza na mama yako pia aongee na huyo mama,lakini kama huyo baba ulishawahi kupiga nae mchakato my dear ur in trouble!chances utapoza rafiki,heshima na kila kitu!so hebu kuwa mkweli kwa nafsi yako na ufuate ushauri kuingana na vile dhamiri yako inakwambia !
 
Usitudanganye.......mnapendana nyie....Kama ungekuwa humpendi usingeleta stori hapa...wewe ni mtu mzima....mbona wengi waliokuchomokea hukuwaleta hapa.....
 
..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao niwakristo kanisa halina talaka na mimi ni muslim na anadai yupo tayar yeye kubadili dini mana haoni raha ya ndoa yake na mkewe,na mtoto wake wa kwanza ni best yangu kupita kiasi na mkewe ni kama dada yangu namheshmu sana..huyu mwanaume ananisumbua mpaka imefka kpnd nataka nimwambie mkewe lakni sijui nianzie wapi na mtoto wake kumwambia kama baba yake ananikera naogopa kupita kias yani hata kwao kwenda siendi tena nmebadili laini ya simu mara tatu lakn kila nikibadili ananambia labda nife ndo atashndwa kunifatilia...na akinipgia anataka kuniona ofisini kwake nsipoenda siku hiyohyo lazma aje mpaka getin kwetu kuniulizia kwetu nimekwenda wapi mana nimkubwa kazni kwao anauwezo wa kutoka muda wowote....plz nsaidieni nimwanzaje mkewe kumueleza mana sms zake zote ninazo anazonitumia na mimi simpendi hata kumuona yani ananinyima amani..,,

Nenda TAWLA kaongee nao watamshitaki kwa kukudhalilisha.
 
mtu hata akung'ang'anie vipi, wewe una maamuzi ya kukataa, kwani umeshikiwa bunduki?
namba yako alipataje? heshima gani unayozungumzia unayo juu ya mkewe na mtoto wake ambaye ni rika lako ilhali una entertain mawasiliano ya kimapenzi na huyo mwanaume???? usikute mmeshadungunyuana na sasa unataka ujione wewe ndiyo unapendwa...
wewe hutaki kuwa na mume wako pia familia yako??? hebu usiendekeze kuingilia ndoa za watu, wana raha na matatizo yao na hayakuhusu kabisa..
Eti heshima, heshima my foot!!
 
Back
Top Bottom