Mume wa Mtu ananitaka

Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

kwa vile mlikutana kwenye starehe hizi na pia ulionesha mazingira ya kupromis kwa huyo mume wa mtu, nakushauri umpe mara moja kisha umstopishe ili haki itendeke!
 
kwa vile ulishaonesha kumpa matumaini ya kumtimizia tamaa zake za mwili mlipokutana kwenye starehe hizi, nakushaurimuonjeshe mara moja kisha umpige kibuti ili haki itendeke!
 
Hatari hii! Basi hamu zijazo zaweza kutufanya tuanze kuzengea mpaka madogi LOL

Hahahahaha watu wanamega kuku,bata,mbuzi n.k
Alafu kuna mudada nilisikia anasema anapenda kumegwa na dog niliishia kufyonya huku akisisitiza kipendacho roho.
 
kuna majibu mengine yanatoka hapa naishia kucheka tu ..

ati umpe ili haki itendeke! haahaha jamani weeee
 
Unamwanika uliyemkatalia, wale waume za watu unatembea nao mbona inabaki siri yako? Na huyu angebaki siri yako
 
Jamani mbona mnamwonea sweetie hapa? Hakuna ubaya hata kidogo kubadilishana namba za simu si ndio connections, madili na urafiki unapoanzia? Tatizo hapa ni huyo fisi kuitumia vibaya namba aliyopewa. Ingekuwa hakuna kubadilishana simu si ingekuwa hakuna maana ya kuwa na simu basi maana kama ni kuwasiliana na nduguzo mngekutana majumbani na za kikazi mngekutana ofcn au kutulia land lines??

JS mamii huyo ni wa kumpiga stop kungali mapemaa tena asiposikia dada hebu deka kidog kwa mpenzio... mweleze taratibu kuanzia A to Z tangu mlipokutana hadi kuexchange number tena mwombe na msamaha wa kutomwambia mapema juu ya hilo (Ikibidi finya macho mpendwa ili umconvince kujutia kwako-Si ndio mapenzi yenyewe ati?)
Kisha mwombe akusaidie kuondokana na jinamizi hilo. The way I know my shem is a man enough he will know what to do lovie so dont worry

Kila la kheri
 
Ndio umeamua kuja kunianika hapa? Ole wangu!!
wewe!! Acha kuvua samaki kwenye tenga na hali tayari mmoja unaye mezani ashakaangwa. LAKINI na huyu dada aache kabisa kuwapa namba za simu wanaume za watu. Bado kidogo utajang'olewa pua.Vaa chupi ya chuma:lock1:
 
kwa vile ulishaonesha kumpa matumaini ya kumtimizia tamaa zake za mwili mlipokutana kwenye starehe hizi, nakushaurimuonjeshe mara moja kisha umpige kibuti ili haki itendeke!

na ionekane kwamba imetendeka lol

hivi kuna mwanamke anaweza kumegwa halafu aseme eti amekupiga kibuti ili haki itendeke.......kutakuwa na nini cha kulinda hapo manake kama kumegwa umeshamegwa na kumega ni kumega haijalishi ni mara ngapi..
 
Hapa JF nashangaa, wimbi la ngono nchi ni kubwa ajabu sasa si mwanamke si mwanaume aliyeoa au aliyeolewa kutongozana na ngono limekuwa jambo la kawaida sana nashangaa kujadili hii mada inavyojadiliwa wakati ngono zinafanyika muda wote kwenye nyumba za wageni na wengine hata maofisini kwa sasa sehemu kubwa ya jamii yetu ni aibu kubwa na wafunzi wa chuo na sekondari ndio hatari zaidi
 
Jamani mbona mnamwonea sweetie hapa? Hakuna ubaya hata kidogo kubadilishana namba za simu si ndio connections, madili na urafiki unapoanzia? Tatizo hapa ni huyo fisi kuitumia vibaya namba aliyopewa. Ingekuwa hakuna kubadilishana simu si ingekuwa hakuna maana ya kuwa na simu basi maana kama ni kuwasiliana na nduguzo mngekutana majumbani na za kikazi mngekutana ofcn au kutulia land lines??

JS mamii huyo ni wa kumpiga stop kungali mapemaa tena asiposikia dada hebu deka kidog kwa mpenzio... mweleze taratibu kuanzia A to Z tangu mlipokutana hadi kuexchange number tena mwombe na msamaha wa kutomwambia mapema juu ya hilo (Ikibidi finya macho mpendwa ili umconvince kujutia kwako-Si ndio mapenzi yenyewe ati?)
Kisha mwombe akusaidie kuondokana na jinamizi hilo. The way I know my shem is a man enough he will know what to do lovie so dont worry

Kila la kheri

hivi MJ1 kwenye kichen pati si ndo mnaambiwa mkitongozwa msiende kusema kwa wapenzi wenu? au
 
Back
Top Bottom