Mume wa Mtu ananitaka

Fanya jambo moja la busara...ebu iweke wazi hiyo namba ya huyo mume wa mtu kama kweli sms+calls zake zinakukera. Na usipoweka tutajua unampenda ila unatuzuga tu ....

sasa akishaiweka ndio inakuwaje?....mambo mengine jamani.
 
sasa akishaiweka ndio inakuwaje?....mambo mengine jamani.
We unafikiri akiiweka tutafanyaje? au unataka kila kitu utafuniwe? JS ameomba msaada kuwa kuna mtu anamsumbua kwaiyo sisi tunachofanya hapa ni kutoa ushauri au kutoa mapendekezo ya kumsaidia yeye...na sisi wengine tunaenda mbali zaidi kwa kutaka kumsaidia kwa vitendo ili jamaa aache kumsumbua
 
Kubadlishana namba na mtu haina kosa kwani by the time unampa mtu namba yako unakuwa unaestablish contact na huyo mtu. besides its a only a phone number ikiwa misused kama na huyu baba ambaye anataka kuchukulia advantage ndo inakuwa tatizo.

Hata angekuwa tu anakutumia salamu tu, bila kukutongoza , finally unangesema haya haya, kwa kweli kosa lako ni kutoa namba halafu utegemee jamaa akaitupe... au ulikuwa umelewa kwenye hizo starehe? :sleepy:
 
kwni cku hizi mwanadamu anajali hilo...""nitatumia kinga"".....yani ilimradi tu mtu kadhamiria kuckia joto la humu ndani.

Hahahahahaha weweeeeeeeeee umenikumbusha mbali sana.
Yaani hamu za siku hizi sijui zikoje mtu akisha tamani hata ajuza atafanya juu chini amege.
 
Jamani wadada mnatutangazia nia then mnachomoa kama mkiona hailipi, the only way mimi sitakutongoza ni pale wewe utakapojiheshimu na kujiheshimu, lakini nyie ndio mnatushawishi saaana, though nitaonekana kama baba yetu Adam aliposingizia "ni huyu mwanamke uliyenipa.." we have a willing power but we men are weak when it come to women + dubai, ndio maana mie napiga dubai alone, kukiwa na wadada wa ofcn basi ni dubai 2 tu napaiga mwendo. Kina Eve hamfai kabisaaaaaaa mna vishawishi vya ajabu hata kama hamjampenda mtu, siwezi kuwajibia sababu sijawahi kuwa wa jinsia yenu lakini mnatupa shida sana tena sana. :scared:
 
Hahahahahaha weweeeeeeeeee umenikumbusha mbali sana.
Yaani hamu za siku hizi sijui zikoje mtu akisha tamani hata ajuza atafanya juu chini amege.
Hatari hii! Basi hamu zijazo zaweza kutufanya tuanze kuzengea mpaka madogi LOL
 
kwni cku hizi mwanadamu anajali hilo...""nitatumia kinga"".....yani ilimradi tu mtu kadhamiria kuckia joto la humu ndani.

hahahahaha ivi wanasayansi wameshindwa kutengeneza "Joto mbadala" ili matatizo kama haya yaishe?
 
ulipompa namba za simu ulitegemea muwasiliane kwa mambo gani haswa wakati siyo rafiki yako. Hayo umeyataka mwenyewe sasa unataka Forum imkataze au ifanye nini?.Tupe namba zake za simu tukusaidie kum-binya:eek2:
 
jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. Ananitaka kimapenzi. Nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. Haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??

mume wa mtu dada sumu.
 
Mweleze ukweli hata 100 times.. Ikibidi fua nambaa zake na mwombe ya kuwa, huhitaji akupigie, ukilaza damu.. shauri yako.
 
Jamani waume wa watu pia tunapenda kukanyaga nje kama kawa. Mpe baada ya muda ataacha
 
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.

Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.

Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??


we huna lolote unajishaua ..... pengine unamtaka au mshaanza mahusiano... HIVI HILO NALO NI SWALA LA KUOMBA UHSAURI KWELI... mi naona hilo ni out of question ushasema ni mume wa mtu kuna la zaidi hapo au ndio unataka ku justify madhambi yako........
 
Back
Top Bottom