afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,254
- 2,678
Muonjeshe mara moja ataacha kukusumbua.....iko hivo hata mademu wanaotuganda we hutaki ukimpa show anatulia kabisa
Uliowakubali mbona hutupi mrejesho wao? Wanawake banaaa akimkataa anasema akmkubali kimyaaaJamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
:rolleyez:mpe mwaya...
mume wa mtu mtamu..asikwambie mtu..
tena kila mtu ana mpenzi wake ndio inanoga zaidi,
akikutema si unarudi tu kwa mumeo?
Achana naye bidada rinda heshima yako na ya mpenzioJamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba nina mpenzi wangu tayari na there cant be anything between us. haelewi kabisa kagoma kuelewa.
Nimfanyeje mtu wa aina hii na tamaa zake za mwili??
mpe tu,kwani anaondoka nayo?Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.