Mume mtulivu!!!!!!!!!!!!!!????????? ??

Mkare

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
504
78
Mke wa Kelvin anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Kelvin akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.

Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, Mambo Kelvin, Kelvin akaitika Poa Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu? mke akauliza Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time hapa akajibu Kelvin.

Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager. Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza, amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?

Wakati Kelvin anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba akawa amefika na kuuliza. Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji nitawaletea huko huko

Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale.

Wakati anapatana bei na dereva, Kelvin naye akaingia. Mama yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga kwikwi akamsikia dereve anasema.

Duh, eee bwana Kelvin huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!

Mamaa aka:faint:

Mke wa Kelvin anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi
videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za
dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani
asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Kelvin
akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.

Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, Mambo Kelvin, Kelvin akaitika Poa
Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu? mke akauliza
Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time
hapa akajibu Kelvin.

Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager.
Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza,
amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?

Wakati Kelvin anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba
akawa amefika na kuuliza.
Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji
nitawaletea huko huko

Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama
chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale.
Wakati anapatana bei na dereva, Kelvin naye akaingia. Mama
yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga
kwikwi akamsikia dereve anasema.

Duh, eee bwana Kelvin huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!

Mamaa aka:faint:
[FONT=tahoma, new york, times, serif]
[/FONT]

hii ipo kwenye jokes mpendwa! pole sana
 
Mmmhhh, hii kali ingawa inatuvurugia usalama wetu sisi tunaoaminiwa na wake zetu! Wasije wakaanza kutufuatilia bure.
 
Hii c ilikwepo hapa jana!!! ....

Thats why huwa sipendi kuforward meseji kwa simu au email.
Hii joke ishazunguka sana kwenye internet naona watu wanaanza kuitafasiri kwa kiswahili na kuipa majina yao wenyewe.
 
hii ipo kwenye jokes mpendwa! pole sana

Yeah imekaa ki-jokes but ipo ki-MMU pia, na vipi kama mimi sipiti jukwaa hilo 2 save my ribs sasa... Wee huoni kwamba kuna some walikuwa hawajaiona... Thanx anyways kwa pole mwaya...!
 
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na
> hatongozi videmu.
>
> Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati
> za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi.
> Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo?
>
> Mke akamlazimisha outing, Frank akabisha lakini taxi
> ikafika. Gonga Club & Lodge.
>
> Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, “Mambo Frank!”
> “Poa”
>
> “Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi
> anakufahamu?”
> mke akauliza
> “Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku
> anapiga part time hapa” akajibu Frank
>
> Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle
> lager.
>
> Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama
> akauliza,
> “amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?”
>
> Wakati Frank anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa
> vyumba akawa amefika na kuuliza.
>
> “Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu
> vinywaji nitawaletea huko huko”
>
> Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka
> akitukana kama chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika
> taxi iliyokuwepo pale.
>
> Wakati anapatana bei na dereva, Frank naye akaingia. Mama
> yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi
> na kupiga kwikwi akamsikia dereve anasema.
>
> “Duh, eee bwana Frank huyu malaya uliyeokota leo
> balaaaaaaaaaaaaaaa kuliko wa jana!!!!!!”
>
> Mamaa akazimiaaaa.........zzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Frank ana balaaa
A%20S-devil4.gif

Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi
videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za
dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani
asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank
akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.

Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, "Mambo Frank!" "Poa"

"Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu?" mke akauliza

"Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time
hapa" akajibu Frank

Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager.
Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza,
"amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?"

Wakati Frank anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba
akawa amefika na kuuliza.

"Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji
nitawaletea huko huko"

Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama
chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale.
Wakati anapatana bei na dereva, Frank naye akaingia. Mama
yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga
kwikwi akamsikia dereve anasema.

"Duh, eee bwana Frank huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!"

mamaa akazimiaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
(JOB 100)
 
Mke wa Kelvin anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi
videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za
dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani
asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Kelvin
akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.

Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, Mambo Kelvin! Poa
Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu? mke akauliza
Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time
hapa akajibu Kelvin.

Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager.
Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza,
amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?

Wakati Kelvin anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba
akawa amefika na kuuliza.
Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji
nitawaletea huko huko

Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama
chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale.
Wakati anapatana bei na dereva, Kelvin naye akaingia. Mama
yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga
kwikwi akamsikia dereve anasema.

Duh, eee bwana Kelvin huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!

Mamaa akazimiaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

kama ni ww ungefanyaje????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom