mume mnoko

pinokio

New Member
Nov 19, 2011
2
0
salam wana jf.mimi ni mwana mama mume wangu hataki nifanye kazi anataka nitunze familia iyo nimekubaliana nalo.lakini mume huyu huyu hana upendo kabisa yeye kurudi ni manane ya usiku na vituko tele .mkitoka nae out jamani usikutane na mtu akakusalimia mume ananuna ukikaa bar na washikaji zake wakikutazama sana ujue nyumbani utachezea kichapo.mpaka nimeamua sitoki nakaa ndani tu kulea watoto.ila mahitaji yote napata nisichopenda unoko wake tu.na nikimuuliza mume wangu mbona haupendi kurudi mapema ananijibu wewe ndio unatafuta pesa.sasa yoote 9 ni hivi tokea nijue jf ni raha tupu hata akikaa mpaka saa kumi usiku sijari wapendwa tena nasema kwa nini karudi mapema.
 
Kwahiyo unatafta mashahidi wa kushuhudia kwamba tatizo lishatatuka automatik sio?

Acha niwe wa kwanza kuushuhudia huu muujiza wako
 
Pinokio,achana na Kloro hapo juu,hana lolote,ni wale wale.
nikwambie kitu anti? Hauko peke yako,si katika jf,si katika ulimwengu asilia.Kwa kifupi MIANAUME NDIVYO TULIVYO,hata utupende vipi tutaharibi tu!
 
hehehe huyu ndio bishanga bana! halaf hapo chini namuona shosti anachungulia na nimevaa msuri tu hapa, mwambiie namsalimia bana
 
Pinokio,achana na Kloro hapo juu,hana lolote,ni wale wale.
nikwambie kitu anti? Hauko peke yako,si katika jf,si katika ulimwengu asilia.Kwa kifupi MIANAUME NDIVYO TULIVYO,hata utupende vipi tutaharibi tu!

Bishanga
Hata kama but she is making a conscious choice to accept hayo manyanyaso ya hiyo MIANAUME.....Kwahiyo lets not lay the blame to WANAUME only

Pinokio
To borrow Bishanga's words.........JF or not ,"Marriage should be enjoyed and not tolerated"!!
 
Pinokio,achana na Kloro hapo juu,hana lolote,ni wale wale.
nikwambie kitu anti? Hauko peke yako,si katika jf,si katika ulimwengu asilia.Kwa kifupi MIANAUME NDIVYO TULIVYO,hata utupende vipi tutaharibi tu!

mpe ile link..labda atatufahamu zaidi!!
All in all...Wanaume Ndio tulivyo
 
salam wana jf.mimi ni mwana mama mume wangu hataki nifanye kazi anataka nitunze familia iyo nimekubaliana nalo.lakini mume huyu huyu hana upendo kabisa yeye kurudi ni manane ya usiku na vituko tele .mkitoka nae out jamani usikutane na mtu akakusalimia mume ananuna ukikaa bar na washikaji zake wakikutazama sana ujue nyumbani utachezea kichapo.mpaka nimeamua sitoki nakaa ndani tu kulea watoto.ila mahitaji yote napata nisichopenda unoko wake tu.na nikimuuliza mume wangu mbona haupendi kurudi mapema ananijibu wewe ndio unatafuta pesa.sasa yoote 9 ni hivi tokea nijue jf ni raha tupu hata akikaa mpaka saa kumi usiku sijari wapendwa tena nasema kwa nini karudi mapema.

kama unapata huduma zote vizuri na vumilia ila why aje usiku? Kuna pesa za manane? Ila angalia asije akaleta balaa kwa kujua jf?
 
Pinokio,achana na Kloro hapo juu,hana lolote,ni wale wale.
nikwambie kitu anti? Hauko peke yako,si katika jf,si katika ulimwengu asilia.Kwa kifupi MIANAUME NDIVYO TULIVYO,hata utupende vipi tutaharibi tu!

hahaha hapo tu bishanga ndipo ninapo'kuzimikia'

pinoko kifupi mumeo ana gubu.
 
Pinokio, aisee! Pole sana. Ina maana wewe socialization=0? Hatari sana. Kitendo cha kukubali kuacha kazi ili ulee watoto sio cha kishujaa hata kidogo. Uangaliwe na marafiki zake halafu upigwe wewe? Si angewapiga wao wakome kukuangalia? Umeshawahi kufikiria maisha baada ya yeye? Namaanisha incase akafariki ghafla ama akaoa mke mwingine (inatoke,si umeshawahi kuona?). Utaweza kuwalea hao watoto? Si sawa hata kidogo kwake kurudi saa nane usiku,usiache kulisemea hilo mpaka kieleweke! Ila tafuta kazi aisee,soon utakua kama mtoto manake huonani na watu wazima kama unashinda ndani na wanao na mume anarudi saa nane usiku! Kha!
 
Bishanga, lawyer wa kinamama wa JF. Natanguliza shukrani. Sasa umpe na suluhisho,afanyeje?
Pinokio,achana na Kloro hapo juu,hana lolote,ni wale wale.
nikwambie kitu anti? Hauko peke yako,si katika jf,si katika ulimwengu asilia.Kwa kifupi MIANAUME NDIVYO TULIVYO,hata utupende vipi tutaharibi tu!
 
Pinokio,achana na Kloro hapo juu,hana lolote,ni wale wale.
nikwambie kitu anti? Hauko peke yako,si katika jf,si katika ulimwengu asilia.Kwa kifupi MIANAUME NDIVYO TULIVYO,hata utupende vipi tutaharibi tu!

Shemeji, nidai chochote kile. Hope hakuna maswali kuhusu chochote niko ready
 
Pinokio, aisee! Pole sana. Ina maana wewe socialization=0? Hatari sana. Kitendo cha kukubali kuacha kazi ili ulee watoto sio cha kishujaa hata kidogo. Uangaliwe na marafiki zake halafu upigwe wewe? Si angewapiga wao wakome kukuangalia? Umeshawahi kufikiria maisha baada ya yeye? Namaanisha incase akafariki ghafla ama akaoa mke mwingine (inatoke,si umeshawahi kuona?). Utaweza kuwalea hao watoto? Si sawa hata kidogo kwake kurudi saa nane usiku,usiache kulisemea hilo mpaka kieleweke! Ila tafuta kazi aisee,soon utakua kama mtoto manake huonani na watu wazima kama unashinda ndani na wanao na mume anarudi saa nane usiku! Kha!

ni kweli kabisa. Asije akajuta baadae.
 
Back
Top Bottom