Mume/mke wa mtu sumu jamani....

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
article-1276396-0983D7B1000005DC-814_634x344.jpg article-1276396-0983A034000005DC-396_306x423.jpg article-1276396-0983D877000005DC-725_634x590.jpg



umemuona kijan ahuyo kamwagiwa sulphuric acid....ndokawa hivo jamani tujiepushe........


Awais Akram was left severely disfigured after he was targeted in revenge for his liaison with businesswoman Sadia Khatoon, whom he met on Facebook.
When her husband and family found out, they got Ms Khatoon, 24, to lure the victim out of his flat, where concentrated sulphuric acid was poured over his head.
Mr Akram, who was left with 47 per cent burns, said he was in so much pain at the time that he wanted to die.
'My whole body started to burn,' he said.
He said: 'When I started feeling this, I did not know how to understand it.
'At that point I just felt that I would be dead. Death was, I felt, a better solution than to be burning like this.'
One witness said he looked like a 'cross between a zombie from a horror movie and the Incredible Hulk' after the attack last July.
Ms Khatoon and her husband Shakeel Abassi, 32, later disappeared in Pakistan and detectives said they now feared for her safety.
Her brother Mohammed Vakas admitted pouring the acid on Mr Akram, during a taped police van conversation with cousin and fellow conspirator Mohammed Adeel.
 
hasira za kufumania ni mbaya na maamuzi yake yanategemea hasira hapo ulipokumbwa na tukio mie naweza kukutoa moyo kwa kisu halafu nikauchemsha na kunywa supu yake
 
hasira za kufumania ni mbaya na maamuzi yake yanategemea hasira hapo ulipokumbwa na tukio mie naweza kukutoa moyo kwa kisu halafu nikauchemsha na kunywa supu yake

Safi sana; kwa mbali naweza kuhisi wapi ni asili yenu!

Moyo wa nani lakini?
 
hasira za kufumania ni mbaya na maamuzi yake yanategemea hasira hapo ulipokumbwa na tukio mie naweza kukutoa moyo kwa kisu halafu nikauchemsha na kunywa supu yake

hahahahahaa duh,.....mshkaji ka idd amini
 
Ndo watu wajifunze!
Kama unataka mke tafuta wako sio usubiri mwenzio akuwekee ndani ndo unyemelee!
 
Hii adhabu ni kubwa sana kuliko kosa lake

Unasemaje Kibona??? Ngoja uje umkamate jamaa yuko juu tuone adhabu ambayo wewe utatoa harafu hiyo hiyo h2so4 (Tindikali tunakupa mkononi unakuwa umeishikilia) hapo ndo nitajua busara zako kwamba uichukue ile tindikali uiweke pembeni harafu sasa uanze kulalamika.
 
Unamshika mkono kwa upendo na kumshukuru kwa kazi nzuri aliyoifanya! Kisha unamfungulia mlango na kumsindikiza! Mamie wala humgasi kama hakikutokea kitu! Nakwambia atajinywea sumu siku ya pili!
Nimewahi kushuhudia jamaa alitembea na mke wa mtu ambaye anafanya naye kazi mara jamaa akawakuta aliongea nao vizuri tu wakiwa wanatetemeka akamwambia mshikaji kuwa mambo ya kawaida tu kuteleza. Then akamwambia mke wake kwa sauti nzuri tu kuwa usirudie tena basi akamwacha. sasa basi yule mwanamke akaenda kwao na yule jamaa mwingine akaacha kazi na ameshahama Dar ninapoongea hivi na huko aliko atakuwa na wasi wasi sana. Jamaa alimfuata mke wake lakini yule dada akakataa kabisa kurudi.
 
hasira za kufumania ni mbaya na maamuzi yake yanategemea hasira hapo ulipokumbwa na tukio mie naweza kukutoa moyo kwa kisu halafu nikauchemsha na kunywa supu yake

Funzadume kumbuka watu kama nyie ambao mnasema nitafanya hiki na kile huwa mnaishia kulia tu, nguvu zote mwilini kwisha kwisha.
Unaishia kusema ngoja nitakutafuta na mpaka nikuue mimi we poa tu unaenda home unachukua panga then unarudisha majeshi.
 
Unamshika mkono kwa upendo na kumshukuru kwa kazi nzuri aliyoifanya! Kisha unamfungulia mlango na kumsindikiza! Mamie wala humgasi kama hakikutokea kitu! Nakwambia atajinywea sumu siku ya pili!

Masikini_jeuri, Hii nimeikubali saaaana. Kama hajiui basi atakimbia nyumba!!!! Ni adhabu lakini kwa UPENDO.
 
yeah wapwaaz; kwa sabubu huyo ni mkeo; ushamwapia; haifai kumwaibisha wala usichume dhambi yao kuwaua! Mshukuru Mungu umeona na umetambua; tena unaweza kuta ndani ya nyumba unanyimwa kitumbua mwaka mzima; hapa si unashukuru kuwa umejua na si ajabu Mungu karuhusu hilo litokee ili kukuponya wewe?

Nitawapeni kisa; Kumradhi ni hadithi ndefu kidogo.

Jamaa mmoja na mkewe walikuwa wakiishi mjini Iringa; Mume akiwa mfanyabishara wa malimbichi na mke ni muuguzi anaye fanya kazi katika hospitali ya mkoa pale Iringa. Mamaa alikuwa na mahusiano yasiyo rasmi na mtu wa nje kwa muda mrefu. Lakini Mungu siyo Abdalah bwana, ilifika siku ya siku.

Wote tunajua kazi za uuguzi na zamu zao za usiku almaarufu kwa jina la NIGHT!(Simaanishi wote si waaminifu la!) Basi siku husika Mke aliaga kuwa amepangiwa NIGHT na jioni ilipofika akaelekea kwenye "NIGHT" yake!

Huku nyuma familia ilipata mlo wa jioni na kwenda kulala; Usiku wa mnane ulipoingia mtoto mdogo katika familia hii akachemka ; wazazi watanielewa; kuna homa za watoto unaweza kulala nazo lakini kuna milipuko mingine hujiulizi mara mbili na hii ilikuwa ni mojawapo ya matukio hayo. Baba haraka akmchukua mwane na kumkimbiza hospitali ; kule kule ambako mkewe anafanyia kazi. Alifika na kupokelewa na wafanyakazi wenzi wa mkewe si unajua shemeji yao na kwa hakika walimpa huduma ya haraka na attention ya juu; huku wengine wakimsifia kwa uamuzi wake wa kumleta mtoto yeye peke yake! Bwana huyu akagutuka kuwa ni kweli hakumuona mkewe na aliulizia kinamana bila kuvujisha siri na akathibitisha kuwa kweli mkewe hakuwapo na siku hiyo haikuwa ya zamu kwake infact wiki hiyo yeye hayuko nigh shift kabisaa!

Mume baada ya matibabu ya mwanawe alirudi nyumbani kulala lakini mtoto alishauriwa abaki hospitalini mpaka asubuhi yake; Mke asubuhi akarudi kama kawaida yake arudipo toka kazini na akamsabahi mumewe na kuripoti uchovu wa kazini na baada ya vishughuli vya hapa na pale alijitia kwenda kulala. Mume ndipo alipomwambia kuwa ajiandae kwani wanatakiwa kuwahi hospitali kumuona mtoto wao amelalaje baada ya kuachwa huko usiku. Mke nusura azimie lakini akajikaza na kuomba ruhusa kwa mumewe kuwa hajisikii vizuri!

Alishindwa hata kwenda hospitali kumwona mwanawe! na baada ya mume kuondoka yeye nyuma akakimbia na kwenda kwa mjomba wa mume kuomba aje aombewe msamaha! Nisiwachoshe mwisho wa yote mwanamke ahuyu aligoma kurudi kwa Mume akidai ni kwanini mwenzie hakuareact kwa ubaya aliofanyiwa?
 
hasira za kufumania ni mbaya na maamuzi yake yanategemea hasira hapo ulipokumbwa na tukio mie naweza kukutoa moyo kwa kisu halafu nikauchemsha na kunywa supu yake
Laiti na sie wanawake tungekuwa na hasira za hivi: Yaani kama vile wanaume atakavyoreact akimfumania mkewe iwe the same kwa mwanamke anayemfumania mumewe.
 
Back
Top Bottom