Mume kuvaa nguo ya ndani ya mkewe....

Daady

Member
Jul 22, 2010
64
19
Hivi naomba kuuliza,

Mume kuvaa nguo ya ndani ya mkewe ( au mke kuvaa nguo ya ndani ya mumewe) ni mapenzi au ushamba?
 
  1. mke kuvaa boxer -> okay sio tatizo. siwezi conclude kama ni mapenzi/ushamba or whatever
  2. mume kuvaa bikini or whatever lady undies zinavyoitwa -> red flag. either ni cross dresser or g_a_y
 
Mke kuvaa nguo ya mumewe sawa lakini mume kuvaa ya mke ile kitu haito fit kwenye nguo kabisa...
 
  1. mke kuvaa boxer -> okay sio tatizo. siwezi conclude kama ni mapenzi/ushamba or whatever
  2. mume kuvaa bikini or whatever lady undies zinavyoitwa -> red flag. either ni cross dresser or g_a_y

Mara nyingi mwanamke akifanya kitu kinachochukuliwa kama cha kiume HAMNA TATIZO, mwanaume akifanya kitu kinachochukuliwa kama cha kike KUNA TATIZO.

Kwangu. . . .
Wanawake + boxers = NDIO. . .its kinda cute.
Wanaume + chupi za kike = HAPANA. . .its weard.
 
Ni jinsi utakavyoichukulia wewe mwenyewe mvaaji au mvaliwaji!
 
interesting so you agree with me. out of curiosity have you ever seen/heard of men wearing lady undies for real, sio kinadharia kama tunavyoongea hapa JF. if so how many, najaribu kupata picha ya mwanaume na c---i ya kike lakini nashindwa.
 
Nimeuliza hivi maana kuna mtu alipita akijidai kuwa kwa upande wake ni sawa tu na yeye haoni shida kuvaa nguo ya ndani ya mkewe
 
Uwendawazimu maana ataanza hapo baadaye atataka hereni na shanga (kama zipo), taratibu anajielekeza kwa cameron
 
Mtaanza kuchunguliana chupi sasa! Sasa wakaka mnaanzia wapi kujadili vyupi? Mweeh! Badala ya kujadiliana wapi viwanja vinauzwa na ujenzi upi ni rahisi na bank gani ina mortgage plan nzuri!
Msije mkaacha kuvaa vest mka
vaa brazierre!
 
If I may ask dear ladies,

Najua kibiolojia mwanaume anapanuka pectoral girldle (mabega) na mwanamke pelvis girdle (hipsi) during purbety.

Sasa jamani mkivaa boxes zetu na hivi zinavyouzwa bei ghali si mtazi'distort'?

Halafu, can a man wear a bikini? really? that is super weird plus a question mark..

Mi naona (my opinion) kila mtu avae nguo yake ya ndani inayomstahili period! (but again ukivaa ya mwenzio only wewe na yeye ndo mnajua na dunia ni yenu chaguo ni lenu)

-> But i like it much when I wake up in the morning and see my wife dressed in my shirt....hiyo napenda hakuna mfano(It make me feel kweli she is mine wrapped in my own clothes)

So again it is the question of how it make you feel...

Mke kuvaa nguo ya mumewe sawa lakini mume kuvaa ya mke ile kitu haito fit kwenye nguo kabisa...

Mara nyingi mwanamke akifanya kitu kinachochukuliwa kama cha kiume HAMNA TATIZO, mwanaume akifanya kitu kinachochukuliwa kama cha kike KUNA TATIZO.

Kwangu. . . .
Wanawake + boxers = NDIO. . .its kinda cute.
Wanaume + chupi za kike = HAPANA. . .its weard.
 
duh, me bf wangu aliwahi kuvaa skin tight yangu akaenda nayo job. nilicheka sana but ye aliona sawa tu!
 
haya huwa ni mapenzi tu..naweza kusema kuwa mie mke wangu anapenda kuvaa nguo zangu za ndani na huwa anafurahi sana..baada ya kugundua hilo niliweza kuagiza boxer nje 100% cotton high quality kila moja nilinunua kwa $ 40.na mara nyingi upendelea kuvaa nyeupe,si hilo tu pia T-shirt zangu naTrouser pale anapokuwa nyumbani au kwenye matembezi yetu binafsi anapendelea kuvaa pia.na huwa anasema kwa watu wakimwambia umependeza analopoka trouser au T-shirt ya mume wangu..hahahaha...

I'M PROUD FOR THAT..
 
kuvaa nguo za ndani za mkeo ( e.g bikini ) na ww ni mume sio vizuri sikumoja utaumbuka. Ila kwa mwanamke its ok hainaga mbaya
 
Ni jinsi utakavyoichukulia wewe mwenyewe mvaaji au mvaliwaji!

Mmhhh dada...lakutokea limetokea...haya jamani mtoeni nguo huyo majeruhi ili afanyiwe upasuaji...... la haula mtoto wa kiume na bikini.........!!!!!!
 
Me laabda avae b4 o after match,imlegee nichekeee wee! But siyo aende nayo mahali!
 
interesting so you agree with me. out of curiosity have you ever seen/heard of men wearing lady undies for real, sio kinadharia kama tunavyoongea hapa JF. if so how many, najaribu kupata picha ya mwanaume na c---i ya kike lakini nashindwa.

kwakweli huwezi kupata picha cause haitoshi. sasa hapo mbele itakaaje?
 
Back
Top Bottom