Mume kamkuta mkewe na love bites kwe makalio yake, ushauri unaitajika kulinda ndoa

Ajitume watu wanaweka lovebite hadi makalioni, kuna watu wabaya jamani, hasa akijua ni mke wa mtu ndio atafanya mavurugu yote hayo lol

Acha Kabisa Yaani umenikumbusha kisa cha Jamaa aliyetonywa kwamba Mke wake anamegwa Gesti fulani na yeye hakuamini Ikabidi Mzee Afunge safari Mpaka kwenye hiyo Gesti. Ile kufika Akaanza kuchungulia akakuta jamaa anamkunja Mke wake ile Mbaya! Jamaa uvumilivu ukamshinda ikabidi apige kelele " Unamuumiza bwana Mke wangu na Nyuzi Sita Tumboni". Jamani wanaume mnapokuwa na wake zenu Msipige Kiaskofu Ohooooo
 
Umeona ee, mwenyewe eti unamwonea huruma, ukifika hakuna cha rom wala nini, wenzako wanabusu makalio huko
 
lovebite za makalio....nimejifunza hilo..
kumbe zina umuhimu aisee lol
 
Watu wamekuwa wanyama sana siku hizi.
Tena kwa wake za watu

Kama Mwanamke alikuwa huru Jamaa amung'unye Makalio yake unafikiri kama Jamaa aliamua Kupitisha Mashine kwenye tiGO Mwanamke angekataa? Ni Suala la kujeheshimu tu kama Mwanamme au Mwanamke atakuwa anajiheshimu na Kujali Maumivu ya Mwenzake kwa Kitendo anachokubali kufanya au kufanyiwa na Mtu ambaye si Halali hawezi kufanya kitu Kama hicho
 
Wana JF,
Mimi ni mgeni huku MMU uwa napita tu siku moja moja!

Leo nimepata nafasi na mimi kuchangia huku, kuna jamaa yangu tunafanya nae kazi ni mtu wangu wa karibu sana kapatwa na mtihani.

Kaniomba ushauri kuhusu huyo mtihani wake kutoka kwa mke wake, wakati wanajiandaa kwenda kazini asubuhi wakati mke wake anavaa nguo.
Kumuangalia sehema za makalio yake ya mke wake kaona kuna Hickey, kiss mark or love bites, sehemu zote mbili za makalio.
Kumuuliza nini hicho? Mke wake anajibu hamna kitu labda nimekaa kwenye kitu kigumu ndio kimeacha hizo love bites.
Wakuu kwa kweli nikashindwa kutoa ushauri naombeni michango yenu tumsaidie jamaa yangu.
Nawakilisha

Ni suala tete sana. Huwezi kumtuhumu kama hakuna ushahidi - Hakuna ushahidi hakuna kosa. Lakini mimi napata picha nyengine kabisa. Hiyo ming'ato katika masaburi ni alama tu, lakini njema hakuishia kuyang'ata tu bali alitigua. Na inawezeka ikawa sio love bites bali alama za makofi au mifinyo wakati anatiguliwa.
Ushauri pekee unaoweza kumpa jamaa yako ni ama avumilie, ajiunge na tiGo au asepe.
 
Ndugu zangu wana JF.
Hii kitu sio ya kucheka inaweza kumtokea mtu yoyote tumsaidie mwenzetu kuokoa ndoa yake!
Ushahidi unaonyesha kanyonywa tena sehemu kubwa jamaa alivyoniambia, mke wake ana rangi Love bites zinaonekana wazi, kingine mke wake akujua kama kwenye makalio yake pamenyonya asingevaa nguo mbele ya mume wake

Ndio manyoya hayo................kuku alikwishaliwa jamaa yako alitambue hilo; swali ni kuwa wanaendeleajae baada ya hapo kuuliza ushauri kama jamaa yuko kwenye denial hivi.........ni kawaida hasa ikiwa wewe unajijua hujasaliti hata siku moja! Hatua ya kwanza ni kukubali matokeo hiyo ndo itawasaidia kuenedelea na hatua nyingine
 
Mh huyo mmama hana sababu yoyote ya kumtoa nje ya ndoa yake. Kama alitaka sarakasi huko kwake si angeanzisha tu nyumbani? Angevunja ukimya, azungumze na mumewe!!
 
Mh huyo mmama hana sababu yoyote ya kumtoa nje ya ndoa yake. Kama alitaka sarakasi huko kwake si angeanzisha tu nyumbani? Angevunja ukimya, azungumze na mumewe!!

Unajua MwanajamiiOne kitu kinachoponza katika Ndoa ni Mawasiliano! wanawake wengi huwa wanasimuliana juu ya Sarakasi walizowahi kukutana nazo sasa unakuta Mwanamama badala ya Kumweleza Mme wake juu ya nini anatamani anaishia kwenda kupractice Nje. Vivyo hivyo kwa Wananume huwa tunakuwa so Polite katika Lile Tendo. Kuna kaka yangu alinifundisha kwamba "You have to act like an Animal and be a little bit aggressive when perfoming that THING, That is what most women like" Sijui kama alikuwa sahihi ila ukiangalia hapa Inawezekana kabisa jamaa huwa anamtreat Mke wake kama dada yake. Haya ni Mawazo yangu yaweza kuwa si sahihi
 
Au mke kajifinya na kumwonyesha jamaa ili apate wivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom